Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Pambana tu uagize, mbali na hapo unakaribisha matatizo, used ya mbongo mostly ni majanga.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajataka ushauri wa kuwekeza, yeye kataka gari la bei hiyoHiyo hela yako ipe thamani mkuu just start thinking on what and where you can invest it rather than wasting your money for just show off...Wekeza pesa kwenye kilimo cha mdaa mfupi kisha uagize gari yako kali matata sana...kuliko hizi za mitaani utapasuka kichwa nakwambia hutaamini...
Huoni hapo anaenda kamatishwa?Usiende kununua gari kwa wale jamaa wa vijiweni kama vile mlimani city, magomeni, ilala and the likes. Nenda kupatana weka tangazo lako la kutaka gari unayoitaka na useme kabisa hutaki madalali hapo kati. Utanishukuru baadae
🤣🤣🤣🤣 Arusha ipi unayouziwa gari kwa 12M? Ist new uuziwe 12M kweli? Au umechanganya gari?Mh! Arusha new model ni 12ml hizi za mwanzo ni tisa
Hongera sana mwana 🇮🇱Ngoja nijichange nifufue Rav 4 short ya 1998 maana nimetembea miguu miaka 6
Kataa kutembea kama wana wa israeliKama mada inavyojieleza hapo juu, ninakaribia 40yrs nmetembea kwa miguu about 30s sasa nisije nikatembea 40yrs kama wana wa Israel.
Jimmy itakuwa 13M ya kuagiza mwenyewe..Ha ha ha kununua from jp jimny ya 2000 ni $2800 kama 6.5m, ushuru zaidi ya 4m jumala ni zaidi ya 11m
Hahahahah jamaa unaishi stone age eeh? Hizo bei zilikuwa za mwaka 201611Ml-12Ml unapata IST mpya kabisa hapa hapa Tz, huko Japan bei ni chini ya hapo 😁
Hapo naona uhakika ni Brevis tu 🤣Amesema ana 7m mwambie gari gani atapata from jp kwa 12m msaidie.
Sabato Njema,Hongera sana mwana [emoji1134]
Twende nikupeleke hapo duka la magari kama 5ml ni passo na gari fulani hivi sijashika jina🤣🤣🤣🤣 Arusha ipi unayouziwa gari kwa 12M? Ist new uuziwe 12M kweli? Au umechanganya gari?
Duka la magari used Tanzania au sio? 🤣Twende nikupeleke hapo duka la magari kama 5ml ni passo na gari fulani hivi sijashika jina
Jenga kwanzaaaaKama mada inavyojieleza hapo juu, ninakaribia 40yrs nmetembea kwa miguu about 30s sasa nisije nikatembea 40yrs kama wana wa Israel.
Hahahahahah majanga kivipi tena? Mbona mimi nimenunua toka 2019 mpaka leo sijafanya major repair zaidi ya oil tu na bushings? Na shockup ndio nilibadilisha.Pambana tu uagize, mbali na hapo unakaribisha matatizo, used ya mbongo mostly ni majanga.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Acha utani ni jipyaDuka la magari used Tanzania au sio? 🤣
Inatofautiana na ukubwa wa engine ila hata 5ml unapata mpyaDuka la magari used Tanzania au sio? 🤣
Ushauri mzuri sana sana .Mimi pia nitauzingatia huu siku zoteMi nakushauri kama umedunduliza mpaka 7 fanya mpango tu ifike 12 uchukue toka jp
Bei ya mwaka gani huo, IST now zinakaribia 17m showroom, ukiagiza zinacheza kwenye 16m11Ml-12Ml unapata IST mpya kabisa hapa hapa Tz, huko Japan bei ni chini ya hapo 😁
Yes,ila hizo ni new model Ile ist ya zamani ni cheap 5.5 unapata darBei ya mwaka gani huo, IST now zinakaribia 17m showroom, ukiagiza zinacheza kwenye 16m