The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Hapo umejenga nyumba yako,yeye hajazungumzia hizo vitu za kiingereza anataka nyumba ya vyumba vitatu kwa 30m basi.Jibu kwa 30m Dar es salaam,kwa maeneo aliyotaja anatoboa kabisa.mimi ni mjenzi
kwa 30n hutoboi kwa nyumba ya vyumba 3 vya kulala
apo utajenga utapaua plasta grill
blandering floor ya chini
utakwama vitu vifuatavyo
aluminium windows
tiles
skimming
nichek 0743 257 669 nikupe raman na ujenzi