The last don JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 1,166 Reaction score 1,421 Apr 27, 2026 #41 stabilityman said: mimi ni mjenzi kwa 30n hutoboi kwa nyumba ya vyumba 3 vya kulala apo utajenga utapaua plasta grill blandering floor ya chini utakwama vitu vifuatavyo aluminium windows tiles skimming nichek 0743 257 669 nikupe raman na ujenzi Click to expand... Hapo umejenga nyumba yako,yeye hajazungumzia hizo vitu za kiingereza anataka nyumba ya vyumba vitatu kwa 30m basi.Jibu kwa 30m Dar es salaam,kwa maeneo aliyotaja anatoboa kabisa.
stabilityman said: mimi ni mjenzi kwa 30n hutoboi kwa nyumba ya vyumba 3 vya kulala apo utajenga utapaua plasta grill blandering floor ya chini utakwama vitu vifuatavyo aluminium windows tiles skimming nichek 0743 257 669 nikupe raman na ujenzi Click to expand... Hapo umejenga nyumba yako,yeye hajazungumzia hizo vitu za kiingereza anataka nyumba ya vyumba vitatu kwa 30m basi.Jibu kwa 30m Dar es salaam,kwa maeneo aliyotaja anatoboa kabisa.
A Associate Professa JF-Expert Member Joined Jan 8, 2026 Posts 561 Reaction score 811 Apr 27, 2026 #42 stabilityman said: mimi ni mjenzi kwa 30n hutoboi kwa nyumba ya vyumba 3 vya kulala apo utajenga utapaua plasta grill blandering floor ya chini utakwama vitu vifuatavyo aluminium windows tiles skimming nichek 0743 257 669 nikupe raman na ujenzi Click to expand... Acha utapeli Nina mshikaji wangu kajenga three bedroom kwa 32M
stabilityman said: mimi ni mjenzi kwa 30n hutoboi kwa nyumba ya vyumba 3 vya kulala apo utajenga utapaua plasta grill blandering floor ya chini utakwama vitu vifuatavyo aluminium windows tiles skimming nichek 0743 257 669 nikupe raman na ujenzi Click to expand... Acha utapeli Nina mshikaji wangu kajenga three bedroom kwa 32M
I INSONSILE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,960 Reaction score 2,945 Apr 29, 2026 #43 Mwezeshaji1 said: Huenda boma, ila finishing mmh...ujenzi unachota hela kama maji, msingi tu utashangaa 15 imekata au zaidi. Click to expand... Inategemea na anachojenga kama ni nyumba real au kibanda cha vyumba viwili na sebule sawa
Mwezeshaji1 said: Huenda boma, ila finishing mmh...ujenzi unachota hela kama maji, msingi tu utashangaa 15 imekata au zaidi. Click to expand... Inategemea na anachojenga kama ni nyumba real au kibanda cha vyumba viwili na sebule sawa