Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

Mkuu nenda kwa mzungu ukabeti,weka timu moja tu let say chelsea,weka mzigo wote kaka,unaweza kutoboa kama Dr.Leaky wa channel 10 vile,kwa mil 80 hata kama chelsea ikipewa point ndogo unapata mkwanja mrefu sana,ss watoto wa mjini hz ndo biashara zetu,daily twala,twanya,twagonga mademu masuperstar unaowajua wewe bongo yote,tumejenga masaki kwa hela hz hz za kubet,hatuibi wala nn lakini mawaziri wanatuogopa hapa jjijini

dogo uwe unatumia akili japo kwa udogo
 
Kweli humu kweny Jf kama mnavoita janvini ni sawa kabisa maan kuna kila aina ya binaadam humu mtu na akili yake anajisifi upuuz mtu anataka ushaur wa kibiashara ww una mwambia upuuzi
 
Kweli humu kweny Jf kama mnavoita janvini ni sawa kabisa maan kuna kila aina ya binaadam humu mtu na akili yake anajisifi upuuz mtu anataka ushaur wa kibiashara ww una mwambia upuuzi

hakuna mtu mwenye pesa hiyo hapa bongo asijue cha kufanya, mili 5 pekee natosha kuzungusha mjini na kuzalisha laki kwa siku sembuse mil 80.mwambie afungue Pub yenye lodge/gesti , au aende china akalete simu tena hapo mtaji ni chini ya mil 20.
 
Yaani mpaka leo hii mnachangia hii thread.. mleta maada haja rejea tangu 2013... watu kweli mmekosa kazi!!
 
  1. Biashara ya kuvyatua matofali na kuziuza kama utapata site nzuri ya biashara hiyo kwani ni biashara nzuri sana na inaliipa watu wengi wametoka kwa hiyo biashara na sasa wapo mbali hivyo unaweza kufanya hiyo biashara
  2. Duka la vipodozi nayo ni biashara nzuri sana kwa sasa kama utakuwa na sehemu ambazo kuna movement ya watu hivo ni moja ya biashara ambayo watu wengi wametoka kwa hiii biashara
  3. Duka la pembejeo za kilimo kama upo mkoani nayo ni muhimu sana kwani ni moja ya mahitaji muhimu sana hasa katika kipindindi hiki katika swala la kilimo kwanza na hapa uwe makini na maeneo mazuri ya kufungua hii biashara
  4. Duka la spare za pikipiki aina ya mbalimbali na duka likichanganya unaweza kuweka na hudumu za upepo wa kujaza magurudumu ya bodaboda.

Hapo vpodoz ninashida kujua
 
Me nakushauri ununue eicher 60 m then lipia 3rd class insurance almost 3m, then iweke daladala, per day ni 160 k, for 25 days ni 4m *12 months =44m per year, 4days ni za kupumzisha engine, so from 44m, take 3m for service it's so enough since gari bado ni mpya.. 1m ni ya hongo Kwa police, , so after 2 years ua money will be back, so unaeza Anza kula faida... U can inbox for more advice..
 
Mkuu kwa vile sasa h huna experience ta biashara, nakushauri usiwekeze mpunga wote kwenye biashara moja. Mpaka utakapoweza kudhibiti changamoto za biashara mojawapo ndo anza kuweka nguvu hapo.
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
 
Njoo uwekeze kwangu bosi kiwango chochote cha pesa...kila mwezi nakupa faida ya 7% ya pesa utakayoweka...mwaka wa tano huu nafanya na watu mbalimbali wanawekeza pesa zao...Niko Arusha serious mtu anicheck 0716060677.
Imani Yangu kuwa watu wanapesa wameweka benk tu..zinazidi kukatwa harafu wameogopa kufanya biashara basi tunawasaidia kuwazalishia na kuwapa faida ya pesa yao kila mwezi 7%.
NB: sheria na taratibu zote zinafatwa za mikataba.
 
Ww unapenda biashara gani? Una uzoefu au elimu ya kutosha kuhusu hyo biashara? Kama unapenda biashara na hujui pakuanzia ajili mtu mwenye huo uzoefu akufanyie na ww ukiwepo. Wengine wanauzoefu bila mtaji, wengine wana mtaji bila uzoefu. Kweli maisha ni maajabu. Hyo mm nikiipata baada ya miaka miwili nakuwa tajiri mkubwa
 
Mkuu kwa vile sasa h huna experience ta biashara, nakushauri usiwekeze mpunga wote kwenye biashara moja. Mpaka utakapoweza kudhibiti changamoto za biashara mojawapo ndo anza kuweka nguvu hapo.
Duuh..umefukua thread ya mwaka 2013
 
Labda tumuulize ailiyeomba ushauri,je alifungua biashara gani,na alifanikiwa kwa kiwango gani?
 
Back
Top Bottom