Mkuu nenda kwa mzungu ukabeti,weka timu moja tu let say chelsea,weka mzigo wote kaka,unaweza kutoboa kama Dr.Leaky wa channel 10 vile,kwa mil 80 hata kama chelsea ikipewa point ndogo unapata mkwanja mrefu sana,ss watoto wa mjini hz ndo biashara zetu,daily twala,twanya,twagonga mademu masuperstar unaowajua wewe bongo yote,tumejenga masaki kwa hela hz hz za kubet,hatuibi wala nn lakini mawaziri wanatuogopa hapa jjijini
Kweli humu kweny Jf kama mnavoita janvini ni sawa kabisa maan kuna kila aina ya binaadam humu mtu na akili yake anajisifi upuuz mtu anataka ushaur wa kibiashara ww una mwambia upuuzi
- Biashara ya kuvyatua matofali na kuziuza kama utapata site nzuri ya biashara hiyo kwani ni biashara nzuri sana na inaliipa watu wengi wametoka kwa hiyo biashara na sasa wapo mbali hivyo unaweza kufanya hiyo biashara
- Duka la vipodozi nayo ni biashara nzuri sana kwa sasa kama utakuwa na sehemu ambazo kuna movement ya watu hivo ni moja ya biashara ambayo watu wengi wametoka kwa hiii biashara
- Duka la pembejeo za kilimo kama upo mkoani nayo ni muhimu sana kwani ni moja ya mahitaji muhimu sana hasa katika kipindindi hiki katika swala la kilimo kwanza na hapa uwe makini na maeneo mazuri ya kufungua hii biashara
- Duka la spare za pikipiki aina ya mbalimbali na duka likichanganya unaweza kuweka na hudumu za upepo wa kujaza magurudumu ya bodaboda.
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
Duuh..umefukua thread ya mwaka 2013Mkuu kwa vile sasa h huna experience ta biashara, nakushauri usiwekeze mpunga wote kwenye biashara moja. Mpaka utakapoweza kudhibiti changamoto za biashara mojawapo ndo anza kuweka nguvu hapo.