Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Ukimzaa huyo mwambie jamaa yako ajikaze awe anakojolea nje,,asione raha tu kukumiminia.La sivyo Miezi miwili tena baadae Unaweza ukaacha kunyonyesha.t
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mama kijacho au tukuite mama wawili?Sina operation, Ila. Hofu yangu ni juu afya yangu mimi na mtoto, maana kiukweli kupata ujauzito saivi sikupanga kabisa ,
Ni baba mmojakama mimba ni ya baba mmoja haina shida, endelea kumnyonyesha mwanao huku unatunza mdogo wake, just make sure unakuwa msafi kabla ya kumnyonyesha, kila unapokutana na mwanaume uoge vzr!
Kama mimba ni ya baba tofauti, inabidi umuanzishie lishe! advantage ya kuzaa dabodabo ni urahisi wa kulea mbeleni! komaa mungu atakufanyia wepesi
We umesomea wengine wamepitia.Me ni mchambuzi wa mambo na nna experience nzuri tu ya kulea..nilivyokua nafanya parenting a nurse alieleza vyote ivyo..nyege zangu zote zilikata maana ni ukweli na ukitaka kuangamiza mtoto fanya ivyo..kama hauna 24,000 za kopo la maziwa kila week unabemenda mtoto..
Na wewe umepata wapi hayo unayoyasema ?
Ukiacha kumnyonyesha mtoto kwa muda bora uache kabisa umwanzishe baby formula.nimesema kwa muda mkuu,inashauriwa hivo maana mili una mtifuano wa hormones sasa hivi
Na ataumwa kweli, maskini nakahurumia, usikaachishe mwache aendelee kunyonya hivyo hivyoNachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Kwani ameshajifungua tayari?Do ile theory ya kuwa ukiwa unanyonyesha mimba haiwezi kushika si kwa wote, wengine wakijaribu tu ni kitu na box. Kula vizuri na kufanya mazoezi, jitahidi kutembea hata kwa nusu saa kila siku kama utaweza.
Jitahidi kubalance mapenzi kati ya hawa watoto wote, kwasababu wako karibu huyu aliyetangulia pia atahitaji kupendwa kama mwenzake. Wazazi wengi wanajisahau na attention yote inahamia kwa mtoto mchanga.
Bado sana tuuKwani ameshajifungua tayari?
We umesomea wengine wamepitia.
Na hapakuwa na shida kabisa kunyonyesha wakati waujauzito.
Hembu naomba hiyo medical journal uliyoisoma wakati unasoma hiyo course yako ya u nurse iliyosema Si sawa kunyonyesha wakati una mimba.
Kama mama healthy hakuna shida kabisa . Lakini kama mama ana matatizo fulani basi hapo ni kesi nyingine . Mfano low vitamins especially iron na pia mlo wake si mzuri na hapati nutrition zote anazo hitaji basi hapo kuna issue.
Sikupanga iwe hivyo na wala sikutarajia kupata saivi, ni bahati mbaya tu
AiseeeeHukupanga kabisa kuwa mjamzito sasa hivi. Je umewahi kusikia kitu kinaitwa condom!? Je, wewe na huyo baba mtarajiwa mliwazia nyege zenu kama msipotumia kinga zinaweza kusababisha mimba nyingine!? Maji yameshamwagika hayazoleki na hiyo mimba usiitoe. Kila la heri na baraka na pole kwa kupatwa na nyege.
Inshort sbr nikuelezee kisayansi zaidi..mwanamke akiwa katika mimba huwa kuna hormones zinakuwa released,oestrogen na progesterone..izi ndio zinasaidia kuvuta mwili ukiwa na mimba,production ya maziwa na kuzuia upcoming pregnancies and also kuzuia bleed..sasa unapopata mtt izo hormones kazi yake inakua ishaisha zaidi ni kufacilitate production ya maziwa tu,cdhani kama ina function zaidi ya apo baada ya kujifungua,by the way pia mwili unakua unstabled ndio maana huwa tunaambiwa usifanye sex mainly unsafe kwa mda flan..so unavyofanya sbb mwili mainly sexual organs aziwi settled huwa reaction ya haraka sana inatokea na huwa ni rahisi sana kupata mimba..ukipata mimba zile oestrogen na progesterone zinakua released au produced tena..production upya ya maziwa inatengenezwa kwa kuwa hormone ya progesterone inafanya yake,hayo maziwa Hayawezi kuwa masafi na healthier kwa kichanga ambacho kimeharibiwa ubora na hiyo released hormones na function inazofanya ili kuuandaa mwili kwa mimba ingine..unashauriwa kama ni mtoto usimnyonyeshe kwa mda flan au kabsaa..kuepuka kumsababishia effects za afya yake..alaf stage ya mwezi wa nne ni mbaya ndio mtt anaanza kupona chango,inarudisha upyaa tatizo la tumbo.
Hayo tu kwa uelewa wangu mdogo..kama kuna mjuzi zaidi anaweza akanikosoa..
Hakuna tatizo kunyonyesha mtoto wakati ukiwa mjamzito ilimradi sasa uongeze juhudi kula mlo kamili, subiri mimba ikifika miezi minne mwachishe mtoto kunyonya maziwa yako kwani wakati huo mimba husababisha kuzalishwa kwa homoni fulani ambazo maziwa ya mama mjamzito yanakuwa na ladha mbaya.Nachohitaji ni nifanyeje ili mtoto asidhulike kipindi hiki cha ujauzito? Maana hofu yangu ni juu ya huyu mtoto niliyenaye
Vipi ule mpango sasa...ulighairi?hongera
usimnyonyeshe kwanza huyo mdogo maana mwili wako hormone zinavurugavuruga
kikwetu huwa wanasema hata usilale nae
ila utakaa tu ok jipe muda mpe mtoto maziwa mbadala