Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Hapa naona utazidi kuchanganyikiwa nenda kituo cha afya au kwa daktari ukapate ushauri zaidi namna ya kulea mtoto wewe mwenyewe pamoja na mtarajiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila cha kuzingatia hapo na muhimu zaidi kwa afya ya mtoto, kama una uhakika mtoto anaenyonya na mimba iliyo tumboni ni damu ya mwanaume mmoja haina shaka wala tatizo lolote akiendelea kunyonya, lakini kama mtoto wa baba mwingine na mimba ya baba mwingine acha haraka sana kumnyonyesha na hata pia kulalanae na kum'beba mara kwa mara, hiyo nimeishuhudia kwa baadhi ya watu wangu wa karibu na hata mimi ilishatokea mke wangu kua na mimba huku akiendelea kunyonyeshaAksanteni kwa ushauri wenu nyote mungu awabark sana
Ni kweli mkuu wamawake wengi hawazingatii usafi baada ya kufanya mapenzi, kiafya sio vizuri umetoka kufanya mapenzi hapohapo unamrukia mtoto na kuanza kumnyonyeshakama mimba ni ya baba mmoja haina shida, endelea kumnyonyesha mwanao huku unatunza mdogo wake, just make sure unakuwa msafi kabla ya kumnyonyesha, kila unapokutana na mwanaume uoge vzr!
Kama mimba ni ya baba tofauti, inabidi umuanzishie lishe! advantage ya kuzaa dabodabo ni urahisi wa kulea mbeleni! komaa mungu atakufanyia wepesi
Acha mara moja kumnyonyesha mtoto MAZIWA wakati tayari una mimba nyingine, ni hatari!Nanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharisha
mmh usikute ujauzito umeyaharibu maziwaNanyonyesha, na hadi hivi leo sijawahi kumpa mtoto chochote kile tofauti na maziwa yangu mwenyewe, tatizo saivi naona anaharisha
Afya yangu kwa sasa nipo tu vizr , ila sijui kadri ujauzito unavyokua .Mkuu
Mkuu Kisayansi pia very small amout of pregnancy hormones zinaingia kwenye maziwa na pia hakuna risk yeyote kwa mtoto anaenyonya.
Ningeomba evidance kwa ulichoandika hapo juu kama unataka na mimi nikupe we uliza tu.
ni sawa kabisa na ni sahihi kabisa kumnyonesha mwanao miezi miezi mitatu ya mwanzo maana mwezi wa nne na mwezi wa tano ya ujauzito wako ndipo maziwa hubadilika na kurudi kuwa "colostrum" na hapo ndipo mwano anaenyonya atagundua tofauti maana haya maziwa ndio yanayo hitajika kwa kichanga kabisa. na mwanao anenyonya akigundua hili maziwa yana testi tofauti ndipo atakapo amuamua kuacha lakini kuna wengine wanaendelea na hapo pia hakuna shida kabisa maana mwili wa mwanamke bado unaendelea kutengeneza maziwa. Cha muhimu kuhakikisha ni kwamba mtoto bado anaongeza uzito.
CHA MUHIMU NI AFYA YA MAMA NA ANAJITUNZA VIPI.
Vingine ni kuogopeshana tu pasipo kuwa na sababu wala evidence yeyote.
Ujauzito una mwezi mmoja tuCha kwanza lea ujauzito ndo Dr mtarajiwa uyoo huo ujauzito wa sasa unamiezi mingapi?ni muhimu ukaanza clinic ya mama na mtoto mapema ili upewe ushauri zaidi na kuangaliwa Afya yako
Kuna mjumbe mmoja kaongelea Lactaction amenorrhea tunategemea kwamba mama akimyonyenya mtoto maziwa yake TU kwa miezi ile 6 ya mwanzo ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango labda wewe ulifanya mixed feeding mapema sana,ulimwanzishia mtoto vyakula vingine MAPEMA kabla hajatimiza Miezi 6
Kwa Suala la kunyonyesha siwezi kukushauri hapa ila naomba uende hosp utakutana na wataalamu zaidi watakupa shule kuhusu unyonyeshaji.
Usiogope kwamba watu/Ndugu watakuonaje cha msingi wewe lea ujauzito wako na zuia kabisa ushauri potovu kutoka kwa watu wengine.
Na sijawahi kumpa chochote ale badala ya kumnyonye tu.. Hadi sasaCha kwanza lea ujauzito ndo Dr mtarajiwa uyoo huo ujauzito wa sasa unamiezi mingapi?ni muhimu ukaanza clinic ya mama na mtoto mapema ili upewe ushauri zaidi na kuangaliwa Afya yako
Kuna mjumbe mmoja kaongelea Lactaction amenorrhea tunategemea kwamba mama akimyonyenya mtoto maziwa yake TU kwa miezi ile 6 ya mwanzo ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango labda wewe ulifanya mixed feeding mapema sana,ulimwanzishia mtoto vyakula vingine MAPEMA kabla hajatimiza Miezi 6
Kwa Suala la kunyonyesha siwezi kukushauri hapa ila naomba uende hosp utakutana na wataalamu zaidi watakupa shule kuhusu unyonyeshaji.
Usiogope kwamba watu/Ndugu watakuonaje cha msingi wewe lea ujauzito wako na zuia kabisa ushauri potovu kutoka kwa watu wengine.
Huyo mmebemenda tayari, msipokuwa makini atadhoofika sana..Ila afya ya mtoto sasa inadhoofika ,
hakuna haja ya kuacha kunyonyesha mtoto.Hili la kuacha kulala na mtoto mimi binafsi limeniacha hoi linahusiana nini na hii mimba? Wajuvi wa mambo!!!!
Acha kumunyonyesha nunua lactogen maziwa ya kopo mtoto atakua poa tu.
Amesema mtt bado anamiezi minne which means hajaanza kla vyakula vingine tofauti na maziwa a mama, wataalam wanasema angalau kuanzia miezi 6 ndo umpe vyakula vingineJitahidi kumtengenezea balanced diet, protein ni muhimu sana katika umri huo kwani ndio anajenga mwili na kinga ya mwili vyakula vya wanga na mboga mboga na matunda, ikiwezekana blend matunda mpe puree au smooth anywe.
umeiweka akilini!Ila afya ya mtoto sasa inadhoofika ,
kwa situation hii EBF sio rahisi!Amesema mtt bado anamiezi minne which means hajaanza kla vyakula vingine tofauti na maziwa a mama, wataalam wanasema angalau kuanzia miezi 6 ndo umpe vyakula vingine
Ninadhani nimekwisha mjibu huko nyuma, hata hivyo kama mama ananyonyesha vyote hivyo anavyokula mtoto anavipata kwenye maziwa.Amesema mtt bado anamiezi minne which means hajaanza kla vyakula vingine tofauti na maziwa a mama, wataalam wanasema angalau kuanzia miezi 6 ndo umpe vyakula vingine
If thats the case endelea kumnyinyesha mwanao huku unalea mimba, its a bit tricky but mungu atakusaidia!Ni baba mmoja