Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Alinikataa huyu kisa ni haka kakitambi kangu.
 
Kalenda ya uzazi unayo wewe kama mwanamke,
Kwanini huku chukua tahadhari mtumie kinga ?

Kwani alikubaka ?
 
Unabebaje mimba nje ya ndoa
mjinga kabisa wewe
 
Najaribu kuhesabu hapa idadi ya mabaunsa wenye familia,nkimaliliza ntawapa mrejesho.
 
Visirani subiri uzae
 
Gym ndio wale uliosema wanapakuliwa?
 
Aliyekupa.. baba kijacho [emoji23]
Wanasemaga eti Mwanaume asiyetulia mbebee mimba, ukishakuwa na kiumbe chake atatulia.

Ndio mtoa mada huyo kalivagaa
Yaani hapo utatulia mwenye kiumbe tumboni,

Lakini mwenzio anakuwa kama moto wa kifuu[emoji23],,unaishia kujutata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizi za wanawake, kuja kupevuka kifikra ni jambo lisilowezekana.
Mimba uibebe wewe, halafu uje udai ni mali ya mwanaume?
Mwanaume ana ileaje mimba, wakati wewe umeibeba?
Yaani unataka mwanaume akupe pesa za kula, kuvaa na kulala kisa tu alikupa utamu mwingi mpaka kupata mimba?
 
Wakati mnapenda kuzagamua danger days sababu joto liko juu mnakuwa hamjui kama kuna majukumu ee?
Dada kukusaidia tu.

Kwa tendo lolote la ngono zembe as long as haulifanyi na mumeo aliyeidhinishwa inakutaka wewe kama mwanamke ambaye utapata madhara makubwa zaidi kuamua nini kifanyike nini kisifanyike?ng’ang’ana kusema “hamjui kama kuna majukumu” na wewe haya yakukute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…