Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Watapata tabu sana 🤣🤣🤣!
 
Mimi kama international step father nasema njoo nikulee
 
Mtoto umwite Jeff (JF)....

Ila kwa hio avatar yako jamaa yuko sawa kuwa bize
 
Lea mimba hio wewe acha kelele....

Halafu umeleta stori ya upande mmoja,,, Elezea ulichofanya hadi ukatelekezwa...
 
Jitunze vizuri ujifungue salama
 
Wengi wao hawana elimu ya afya ya uzazi na wengine ni tamaa zinawaponza.
 
Kwani ulivyokuwa unat*mbwa ulikuwa ujui kuwa mimba itaingia! Embu zaa uko na ole wako utoe nakuapia lzm ulione kaburi acha ngono zembe
 
Sema mna mimba wewe na yeye [emoji1768] ukisema una mimba yake ina maana we unaikana unategemea yeye ataikubali??? Anyway pole sana
 
Pole dear.... Nisikufiche kua single mother ni Kazi ngumu sana.... Unatakiwa ufanye Kazi kwa bidii.... Sa hv na hata ukijifungua usijihusishe na mwanaume yoyote... Jihusishe na kutafuta na kufanya Kazi....... Na siku huyo baba mtoto akirudi jitahid sana kutuliza hisia zako usijaribu kumrudia
 

Hakuna mke hapa mitano tena kwa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…