hillongajonas
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 201
- 441
Hizo feelings za kuwa naye karibu tu zikoje? Chui na mbuzi hawafugwi zizi moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nataka kutunza heshima yangu, huyu msichana nimemzidi miaka kadhaa alafu naheshimika sana hapo kazini hivyo nataka kwenda taratibuYaan ww haupo kwenye uanaume,ww ni mvulana yaan sisi wanaume wenzio tukitamani tu tunatongoza na tunachapaa,,,ww una nyege mkuu fasta umtie tu huyo mdada kisha utamuona wakawaida sanaaa
Dah mkuu nashkuru.Mkuu wewe sio wa kwanza kwenye hizo ishu....cha msingi angalia nadhiri yako inakuambiaje....upige au uulinde moyo wako!
Comment kutoka kwa legend wa uchepukaji!Sasa kuwa nae tu karibu unahitaji ushauri pia?
Kwani unataka kumuoa na yeye?
Wengine tuna michepuko kadhaa na mke ndani lakini tunahandle vyote wewe unakwama wapi?
Acha kujiendekeza kijana.Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo, lazima nitafute sababu yoyote ya kunifanya niongee nae.
Alafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yeye ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi, mimi naumia ila najikaza.
Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi, nimefurahi jana kasave namba zangu nimeanza kuona status zake, sina hakika kama yeye anajua nampenda, pengine yeye ananichukulia mimi kawaida.
Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali, yule dada nampenda yani hata kama nikiongea nae tu naridhika, siwazi kabisa kufanya nae mapenzi, yani nina feelings za kwamba nataka niwe nae karibu tu.
Nafanyaje wakuu?
Uzi konki namna hii haujapata like hata moja? Yaani mimi ndiye wa kwanza kutoa like. Hata wewe mwanzilishi wa huu uzi hujapitia hapa? Jamani toeni likes za kutosha hapa.Hilo ni jaribu/mtego yakupasa ulishinde ili kuilinda ndoa yako....kama ukianguka kwenye zinaa itakuwa ndio mwanzo wa kuivuruga ndoa yako na ukifika huko utapata wakati mgumu sana na hutaweza kurekebisha ulipokosea.
Linda ndoa yako mkuu usiruhusu hisia/matamanio ya muda mchache yakuvunjie familia maana utajuta na hutakuwa na wakumlaumu.
[emoji2][emoji2]Simu yangu imeisha wino siwezi kukomenti
Ukute na mkeo nae kashampenda mtu ila hajui afanyaje,jaribu kufanya kama unamshauri mkeo!na ushauri huohuo jipe na wewe
Unataka uwe naye karibu kiaje? Kemea hilo pepo la tamaa mkuu.ukijaribu kuvuka mipaka ya kikazi una haribu ndoa yako sasa hivi na itakuwa ndiyo chanzo cha taabu zako nyingi.Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.