Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Hama kituo cha kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli Nyege ni mbaya sana. Zinaweza kukuongoza vibaya ukahisi kweli.Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo, lazima nitafute sababu yoyote ya kunifanya niongee nae.
Alafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yeye ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi, mimi naumia ila najikaza.
Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi, nimefurahi jana kasave namba zangu nimeanza kuona status zake, sina hakika kama yeye anajua nampenda, pengine yeye ananichukulia mimi kawaida.
Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali, yule dada nampenda yani hata kama nikiongea nae tu naridhika, siwazi kabisa kufanya nae mapenzi, yani nina feelings za kwamba nataka niwe nae karibu tu.
Nafanyaje wakuu?
Ikimbieni zinaa biblia inasema. Literally ni kwamba kushinda zinaa ni lazima kukimbia vishawishi vya zinaa. Kaa mbali naye, futa namba yake, mheshimu Mungu na mke wako pia.Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo, lazima nitafute sababu yoyote ya kunifanya niongee nae.
Alafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yeye ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi, mimi naumia ila najikaza.
Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi, nimefurahi jana kasave namba zangu nimeanza kuona status zake, sina hakika kama yeye anajua nampenda, pengine yeye ananichukulia mimi kawaida.
Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali, yule dada nampenda yani hata kama nikiongea nae tu naridhika, siwazi kabisa kufanya nae mapenzi, yani nina feelings za kwamba nataka niwe nae karibu tu.
Nafanyaje wakuu?
Hakukupenda alikupa tu ili kukufurahisha moyo wako, aliona wakawaida tu ndiyo maana hakupagawa naweweKwa kweli Nyege ni mbaya sana. Zinaweza kukuongoza vibaya ukahisi kweli.
Naomba nitumie experience yangu kidogo kwenye ishu kama yako.
Nikiwa na Mke na Watoto wawili, nilitokea kumpenda mdada wa ofisini kwetu. Nikajitahidi kumweka karibu, afu baadae nikamwambia ukweli. Alinambia James wewe umeshaoa na mke wa namfahamu, mi jambo hilo siwezi kufanya. Ungekuwa hujaoa sawa, lakini kwa Kuwa una mke siwezi kumfanyia hivo mwanamke mwenzangu.
Jibu hilo, halikunikatisha tamaa, kwa sababu tayari alikuwa ameshachukua nafasi ya mke wangu katika moto wangu. Niliendelea kumwomba na kujitahidi kumjali mwishowe alikubali. Akanipa tunda!
Cha ajabu baada ya kutoka nae mara 2, nikajikuta nimekinai. Na wala hakuwa na dosari yoyote lkn moyo ghafla ukarudi kwa wife yeye akaonekana wa kawaida tu. Hadi saiv namuona wa Kawaida tu. Sihitaji tena!!
Kwa hiyo, hiyo ni tamaa tu. Sikushauri umpige, wewe uambie moyo wako tu hapana!
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo, lazima nitafute sababu yoyote ya kunifanya niongee nae.
Alafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yeye ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi, mimi naumia ila najikaza.
Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi, nimefurahi jana kasave namba zangu nimeanza kuona status zake, sina hakika kama yeye anajua nampenda, pengine yeye ananichukulia mimi kawaida.
Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali, yule dada nampenda yani hata kama nikiongea nae tu naridhika, siwazi kabisa kufanya nae mapenzi, yani nina feelings za kwamba nataka niwe nae karibu tu.
Nafanyaje wakuu?
hahahahahaAndika barua kwa mwajiri kumtaarifu kuwa huyo ni dem wako.
Nakala kwa rpc na rso
Nani alikwambia kwamba ukichelewa kuoa unakuwa hutoi macho kwa vibinti wengine?Mheshimu mkeo kama anavokuheshimu, tuliza mihemko why uliwahi kuoa ikiwa bado unatoa toa macho kwa mabinti wengine?😬
Bibi ushauri wakati yakwako yanakupiga roba mbao..🤣Mheshimu mkeo kama anavokuheshimu, tuliza mihemko why uliwahi kuoa ikiwa bado unatoa toa macho kwa mabinti wengine?😬
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani nisipoongea nae siku hiyo, lazima nitafute sababu yoyote ya kunifanya niongee nae.
Alafu kinachoniuma zaidi ni kuwa yeye ni msichana mzuri sana anaongea na watu wengi, mimi naumia ila najikaza.
Nimefanikiwa kupata namba zake alinipa mwenyewe tu kwa sababu nilikuwa na shida naye kikazi, nimefurahi jana kasave namba zangu nimeanza kuona status zake, sina hakika kama yeye anajua nampenda, pengine yeye ananichukulia mimi kawaida.
Wakuu nafanyaje kuhendo hii hali, yule dada nampenda yani hata kama nikiongea nae tu naridhika, siwazi kabisa kufanya nae mapenzi, yani nina feelings za kwamba nataka niwe nae karibu tu.
Nafanyaje wakuu?
My JF [emoji4][emoji4]Ukute na mkeo nae kashampenda mtu ila hajui afanyaje,jaribu kufanya kama unamshauri mkeo!na ushauri huohuo jipe na wewe