Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

Yaan ww haupo kwenye uanaume,ww ni mvulana yaan sisi wanaume wenzio tukitamani tu tunatongoza na tunachapaa,,,ww una nyege mkuu fasta umtie tu huyo mdada kisha utamuona wakawaida sanaaa
Tatizo nataka kutunza heshima yangu, huyu msichana nimemzidi miaka kadhaa alafu naheshimika sana hapo kazini hivyo nataka kwenda taratibu
 
Mkuu wewe sio wa kwanza kwenye hizo ishu....cha msingi angalia nadhiri yako inakuambiaje....upige au uulinde moyo wako!
Dah mkuu nashkuru.
Japo yeye haoneshi interest yoyote kwangu japokuwa nikihitaji msaada wake yuko tayari kunisaidia anytime
 
Mkuuuliweiweka ek naomba ukapokekee ka uuliweiwekashauri kangu kadogo....
Siku uliyofunga ndoa uliweka ahadi ya kuwana umoja na mama watoto wako jitahidi kuitafakari hiyo na uendelee kuishi usafi wenu....
Usiteme gomba kwa karanga za kuonjeshwa....
Najua n vigumu ila jitahidi kumfikiria mkeo kuliko hicho kikaragosi ukishinda mtihani huo kuna zawadi...
Usipende sana zinaa mkuu mwangalie sana mwanao kuliko huyo kikaragosi.....

Najua n vigumu ila omba Mungu uyashinde...
 
Acha kujiendekeza kijana.
 
Uzi konki namna hii haujapata like hata moja? Yaani mimi ndiye wa kwanza kutoa like. Hata wewe mwanzilishi wa huu uzi hujapitia hapa? Jamani toeni likes za kutosha hapa.
 
Achana na huyo wa kazini. Ukimwambia ukweli halafu akakuchomolea, kazini utapaona pachungu( As per experience).
Hii nayo ndio nahofia,that's why nakuwa nahofia,niheri niende nae taratibu tuu ihope nitamzowea alafu maisha yataendelea
 
Achana na huyo wa kazini. Ukimwambia ukweli halafu akakuchomolea, kazini utapaona pachungu( As per experience).
Hii nayo ndio nahofia,that's why nakuwa nahofia,niheri niende nae taratibu tuu ihope nitamzowea alafu maisha yataendelea
 
we utaoaje afu ndio kwanza mna mtoto mmoja unasema umempenda mwanamke mwngine? kuoa si lazima wazee msioe kuifurahisha jamii ww km unapendapenda kirahisi hvyo unaoa ili iweje?
 
Unataka uwe naye karibu kiaje? Kemea hilo pepo la tamaa mkuu.ukijaribu kuvuka mipaka ya kikazi una haribu ndoa yako sasa hivi na itakuwa ndiyo chanzo cha taabu zako nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…