Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

"huwez kufany nae mapenz ila unatak kuw nae krbu" s

Sasa unakwam wapi kufany mtoto wa kike awe krbu nawe, mpe zawad mtoe lunch na dinner ,

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni akili ya mtu aliyechanganyikiwa
 
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia pekeyangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Mzeya acha kutufanya sie watoto ..ati siwazi kabisa kufanya nae mapenzi 🤣🤣🤣🤣
Acha uboya bwana wewe kamata mwanamke huyo ukule mbusus yake. Hao viumbe wamewekwa duniani tuwagegede bwana.
 
Kwa kweli Nyege ni mbaya sana. Zinaweza kukuongoza vibaya ukahisi kweli.

Naomba nitumie experience yangu kidogo kwenye ishu kama yako.
Sasa mzee sii u just stating the obvious...mwanamke yoyote yule awe mzuri kiasi gani ukishamkojolea mara mbili tatu anaishia kuwa wa kawaida tuu. Mwanamke ni mzuri kabla ya kumla mbususu...ukishamla mbususu anakuwa ng'ong'ozo ....thats how it is for most men...and by most i mean 98%
 
Siwazi kabisa kwamba labda nataka nifanye nae mapenzi.

Najikuta nahitaji kunijali kwake
Kaa mbali naye, Anza kwa kufuta hiyo namba yake. Kama Una dawati kazini, weka picha ya familia yako, uitazame kila unapopatwa na mawazo machafu.
 
Kula mzigo kwanza ndo utakuwa na mamuzi sahihi
 
"All the gods, all the heavens and all the hells are within you"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…