Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?



Mwache mkeo umuoe huyo mfanyakazi mwenzio moyo wako uridhike kuliko kuendelea kumsaliti
Maana umeshindwa kujua unachokitaka. Mxiuuuuuuuuuu
 
Usianzishe mahusiano kazini unajitaftia matatizo yasio ya lazima, na hivi duniani hamna Siri
Mwache ale mbususu hio bana😅 ila mie sielewi yani niwe na mke charming anayenionesha mapenzi full all time she there for me 😅 hata nyege za kumsaliti sinaga aisee!
 
Mwache ale mbususu hio bana[emoji28] ila mie sielewi yani niwe na mke charming anayenionesha mapenzi full all time she there for me [emoji28] hata nyege za kumsaliti sinaga aisee!
Wanaume huwa mnAjitaftiaga majanga Sasa huyu anataka haribu kazini na nyumbani na mbaya ukute mchepuko ni anatoka na bosi.
 
Sasa kuwa nae tu karibu unahitaji ushauri pia?
Kwani unataka kumuoa na yeye?
Wengine tuna michepuko kadhaa na mke ndani lakini tunahandle vyote wewe unakwama wapi?
Hahahaaaa kocha mchezaji...
 
Mkuu kemea hilo pepo..huo ndo mwanzo wa matatizo katika maisha yako...shetani anavuruga maisha ya watu kupitia wadada warembo kama huyo wa kazin kwenu
 
Mwache ale mbususu hio bana😅 ila mie sielewi yani niwe na mke charming anayenionesha mapenzi full all time she there for me 😅 hata nyege za kumsaliti sinaga aisee!
Usseme hvyo kaka,unawza ishi poa na mkeo ila ikatokea kuna mrembo umemuelewa,ile mbaya
 
Usseme hvyo kaka,unawza ishi poa na mkeo ila ikatokea kuna mrembo umemuelewa,ile mbaya
Hahahahah mrembo hawezi tokea kama mke wangu tayari ni mrembo na nampenda kweri kwerii!
 
Mkuu shida yako unaishi kwa kuzisikiliza na kuzitii tamaa za mwili zenye kudanganya. Siku nyingine utadai umempenda mwingine na mwingine na mwingine. Tamaa za mwili zipo tu lakini sio za kuziendekeza.
 


Iwapo hakuna penzi la dhati ya moyo , engagement and chemistry among it can be the way umeelezea.

Lakini likiwapo penzi la dhati ya moyo , engagement and chemistry nakwambia hakuwa na wa kumkinahi wala kumkifu mwenzie baina ya wapenzi.
 
Feelings like these ni kawaida. Integrity I ichukue nafasi ya kwanza, keep a healthy distance, na kama wife ni mwelewa, discuss naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…