maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Katika Maisha hicho kitu ni very rare kutokea. Biashara yoyote mpya hupaswi kuchukulia mikopo Bali unachukua mikopo kuongeza Capital kwenye biashara ambayo tayari circulation yake imeshakomaa sasa mfano ukiingia miguu yote ukapata shoti si utaanza kuuza magari na nyumba ili kurudisha marejesho Bank?!.Before All Else Be Armed ManMimi sio mgeni WA mkopo Ila nataka nitumie mkopo kusimama.