maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Katika Maisha hicho kitu ni very rare kutokea. Biashara yoyote mpya hupaswi kuchukulia mikopo Bali unachukua mikopo kuongeza Capital kwenye biashara ambayo tayari circulation yake imeshakomaa sasa mfano ukiingia miguu yote ukapata shoti si utaanza kuuza magari na nyumba ili kurudisha marejesho Bank?!.Before All Else Be Armed ManMimi sio mgeni WA mkopo Ila nataka nitumie mkopo kusimama.
Kwanini unataka kupotosha watu umewahi kufanya biashara yeyote ?Usikope kufanya biashara. Anza na kitu chochote.
Sio kweli acha kudanganya watuKamwe usikope kuanzisha biashara.Kopa kuendeleza
Ushauri wangu NI mmoja Tu kabla hujachukua mkopo , angalia Eneo nzuri lililochangamka napendekeza mjin tafuta uwanja WA kuweza kujenga lodge , kaa na fundi WA ujenz akupe makadirio Hadi lodge inaanza kutumika itacost milion ngapi pamoja na furniture , Then kiasi mtakachopata ingia bank omba mkopo wa kiasi hicho kama itawezekana, ila utazidisha kidogo hiyo amount ya mkopo kwa akiba , namainisha kama fund atasema NI milion40 itatoboa Hadi lodge kuanza kutumika ,bas bank kopa milion55Mimi sio mgeni WA mkopo Ila nataka nitumie mkopo kusimama.
Kuna uzi upo hapa hapa jukwaa la biashara wa mtumishi aliyetaka kukopa 50mil alafu akatakiwa alipe 90mil kwa miaka 8! embu utafute uupitieMimi Ni mtumishi ninakopea mshahara wangu