Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

Do your thing, issue zikitokea au majuto yeyote utarekebisha baadaye
Huenda amejua kutenganisha maji katika mafuta akili kichwan mwake mambo ya kurudiana hayaitaji ushauri sanaa afuate moyo wake
 
Badilisha sababu ya kupenda uislam
Mm nimelelewa na pande zote lakn ukweli uislam ni mzuri sana kuanzia maishawanayoishi namna wanavoishi na watu walivo na heshima na hata namna mafundisho ya mienendo ya namna ya Kuishi


Natamni kijana mmoja angekuwa n mawazo kma Yako aisee ningempa Dunia yote wengine tungewahamisha mkatafute pa Kuishi 😄😄😄
 
Je mkiachana au mwanamke akabadili dini na kuwa mkristo je utamfuata huko huko au utabaki kwenye uislamu?
 
Kama dini ni kipaombele kwenu basi oa mtu wa dini yako.... Tangu lini mtu mwenye majini ndani yake akaendana na mtu mwenye yesu ndani yake?

Ndege wafananao waruke pamoja
Yesu hapendi watu wapumbavu na wasiokuwa na staha na wasioweza kujibu maswali kwa staha.
 
Ukishafanikiwa kwenye hilo kajifunze kujitoa muhanga pia
 

Usinichukulie serious
 
Ingia dini maalim karibu sana,wake wanne sheikh tena unachagua kwa rika mmoja m‘bibi,mmoja mmama kidogo (vijana siku hizi mmbeboresha wenyewe mnaita “mshangazi”) mwengine msichana kidogo mwengine unajibebea under twelve to six years wewe tu chaguo lako.

Lakini siku ukistukia chaka uliloingia siyo jua ukitoka huko kichwa huna kichwa ni mali yao unawaachia hao jamaa kwa upande huo wako vizuri sana kukukata kichwa kwao siyo kazi so moyo wako beba pamoja na akili yako.
 
Ukitaka kusilimu kwa ajili ya mwanamke tu hio sio sawa. Silimu kwa sababu ya kuaminj uislam ndio dini ya haki. Mke baadae
Hapa sasa unataka kuleta roho mbaya mwache mwenzako nae apate wepesi wa maisha au hukumuelewa?

Mwache ahamie aje ale mema ya nchi (kwa mujibu wa fikra zake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…