Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

Badilisha sababu ya kupenda uislam
Mm nimelelewa na pande zote lakn ukweli uislam ni mzuri sana kuanzia maishawanayoishi namna wanavoishi na watu walivo na heshima na hata namna mafundisho ya mienendo ya namna ya Kuishi

Natamni kijana mmoja angekuwa n mawazo kma Yako aisee ningempa Dunia yote wengine tungewahamisha mkatafute pa Kuishi 😄😄😄
 
ugonile,

huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa itaenda mrama.

binafsi napenda mwanamke mwenye heshima na ambae yuko submissive kitu ambacho kwa upande wa waislam naona mwanamke anaandaliwa jinsi ya kuishi na mwanaume from the scratch, wana heshima sana kitu ambacho ndo mwanaume yeyote anaitaji kutoka kwa mwanamke wake na endapo mambo yakaenda mrama kwenye ndoa dini imeweka bayana mifumo ya namna ya kukabiliana nayo kirahisi kabisa tofauti na ukristo ambao mwanamke anakuigizia tabia ila mkishafunga pindu za maisha madhabahuni tu anarudi kwenye default mode.

kitu kingine kizuri ni kuwa naweza kuoa wanawake wengi as much as i can tofauti na huku kwenye ukristo.

karibuni kwa mawazo kabla sijakurupuka

wale wafia dini hapa sio pahala pake
Je mkiachana au mwanamke akabadili dini na kuwa mkristo je utamfuata huko huko au utabaki kwenye uislamu?
 
Kama dini ni kipaombele kwenu basi oa mtu wa dini yako.... Tangu lini mtu mwenye majini ndani yake akaendana na mtu mwenye yesu ndani yake?

Ndege wafananao waruke pamoja
Yesu hapendi watu wapumbavu na wasiokuwa na staha na wasioweza kujibu maswali kwa staha.
 
ugonile,

huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa itaenda mrama.

binafsi napenda mwanamke mwenye heshima na ambae yuko submissive kitu ambacho kwa upande wa waislam naona mwanamke anaandaliwa jinsi ya kuishi na mwanaume from the scratch, wana heshima sana kitu ambacho ndo mwanaume yeyote anaitaji kutoka kwa mwanamke wake na endapo mambo yakaenda mrama kwenye ndoa dini imeweka bayana mifumo ya namna ya kukabiliana nayo kirahisi kabisa tofauti na ukristo ambao mwanamke anakuigizia tabia ila mkishafunga pindu za maisha madhabahuni tu anarudi kwenye default mode.

kitu kingine kizuri ni kuwa naweza kuoa wanawake wengi as much as i can tofauti na huku kwenye ukristo.

karibuni kwa mawazo kabla sijakurupuka

wale wafia dini hapa sio pahala pake
Ukishafanikiwa kwenye hilo kajifunze kujitoa muhanga pia
 
Ha! Mapepo yapo kila sehemu ndiyo maaana mwamposa anaendelea kupiga pesa kwa kuuza mafuta na kila siku mnakemea mapepo ya kukosa mume, mapepo ya kukosa mke , mapepo ya kukosa kazi, mapepo ya ulevi, mapepo ya uzinzi ongeza mengine mkuu ......

Sasa sijui huyo yesu anakaaje na hayo mapepo yote tajwa hapo juu

Usinichukulie serious
 
Ingia dini maalim karibu sana,wake wanne sheikh tena unachagua kwa rika mmoja m‘bibi,mmoja mmama kidogo (vijana siku hizi mmbeboresha wenyewe mnaita “mshangazi”) mwengine msichana kidogo mwengine unajibebea under twelve to six years wewe tu chaguo lako.

Lakini siku ukistukia chaka uliloingia siyo jua ukitoka huko kichwa huna kichwa ni mali yao unawaachia hao jamaa kwa upande huo wako vizuri sana kukukata kichwa kwao siyo kazi so moyo wako beba pamoja na akili yako.
 
Ukitaka kusilimu kwa ajili ya mwanamke tu hio sio sawa. Silimu kwa sababu ya kuaminj uislam ndio dini ya haki. Mke baadae
Hapa sasa unataka kuleta roho mbaya mwache mwenzako nae apate wepesi wa maisha au hukumuelewa?

Mwache ahamie aje ale mema ya nchi (kwa mujibu wa fikra zake)
 
Back
Top Bottom