Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

Cmfungua

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
381
Reaction score
1,083
Poleni na tozo za miamala

Mimi nina mpenzi mpya kabisa ila tatizo nisipomtafuta mie baasi ujue ndio siku imepita hivyo. Nikimwambia 'Nakupenda' anajibu ahsante.

Nikimpigia simu anasema ana kazi atanitafuta baadae baasi hiyo baadae mpaka mie nimtafute. Nikimtumia msg anajibu inshort sana yaaani naandika maelezo marefu yeye anajibu sawa au asante.

Ila nikimpelekea zawadi anapokea sana nimeisha poteza kama elfu 30 hivi.

1627020638592.png

 
Unakaa kijiji gani??
Huku nilipo almost kila siku naona msichana mzuri kuliko yule niliemuona jana tena with classy. Acha kujifungia mtaani kwenu tembea uone wanawake wazuri zaidi yake..Ukiwa unawaona wazuri wengi huwezi babaishwa na mmoja.
Niko wilaya moja huku kanda ya ziwa aisee
 
Achana na mpenzi wa mtu wewe. Hakupendi na hakutaki ndio maana anakufanyia visanga vyote hivyo. Ni ngumu sana kulazimisha hisia kwa mtu usiyempenda. Zaidi zaidi anaona kama unamsumbua.... Huenda huko aliko anasumbuka na mpenzi wake
 
Achana na mpenzi wa mtu wewe.
Hakupendi na hakutaki ndio maana anakufanyia visanga vyote hivyo.
Ni ngumu sana kulazimisha hisia kwa mtu usiyempenda. Zaidi zaidi anaona kama unamsumbua....
Huenda huko aliko nasumbuka na mpenzi wake
Ivyoo kheee aiseee
 
Back
Top Bottom