Nimempiga mmoja chini Kama sku tatu nyuma hv nilimpa kila kitu na kumjar kila kitu yeye na mwanae na kutambua umuhimu wa familia yao
Baada ya kufika mjini akabadilika akaniona sifai ukimya mwingi ukiuliza Yuko bize na chuo Mara sio kila anapokuwa anaweza pokea simu yangu nkaona isiwe tabu wacha nibaki Kama nilivyo Mara ya mwisho anasema yeye sio lazima kuolewa na mim Wala mm sio lazima kumuoa yeye
Hawa ndio wanawake aiseee utawekeza kwake lakini mwenzio anawaza malengo yake TU Wala sikutaka fadhira zake anirudishie nitaumia coz nampenda but Nisha aamua Ni move on Mana mpaka ana fikia hatua ya kukwambia nisimharibie siku