Cmfungua
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 381
- 1,083
- Thread starter
- #121
Yaaan nmejitaid sana lkn hakuna kitu full stressKo
Ahsante kwa kujibu! Sasa kiongozi kwa jinsi ulivyomuelezea uzuri wake ina maana anatongozwa na watu wengi sana, hivyo anapata kiburi kwamba anapendwa na wengi! Kwa kifupi amewapanga wengi! Kingine kinaweza kuwa ni ubinafsi wake unafanya anakuwa hivyo. Nakupa haya kwa uzoefu niliupata kwa msichana mmoja, yaani alikuwa na tabia kama hizo, nilichofanya sikumtafuta kabisa, mwenyewe akaanza ku-view status zangu na kuanza ku-comment. Sikuwa namjibu, alinyoosha mikono. Mkuu chukua maamuzi magumu, unaweza pata stress bure! Kila la kheri!
Sasa nafanya maamuz magum