ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Ukiangalia hilo bro utaishi kitumwa sana kisa uzuri ambao wewe haukusaidii lolote.Ujue ni pisi kali balaaa
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia hilo bro utaishi kitumwa sana kisa uzuri ambao wewe haukusaidii lolote.Ujue ni pisi kali balaaa
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nakubali mwamba [emoji110][emoji817]Make sure the person you're choosing over everybody is choosing you too. Btw nikiona tone ya uandishi siielewi nafuta namba mapema tu.
Ukiona zishapita siku 2 hamjawasiliana...Ukiwa unamuongelea Tumia wakati uliopita tafadhali coz tayari huyo amekupiga chiniMpk nakuja hapa na siku 4 sijamtafuta ... Nae ajanitafuta hata kwa msg
[emoji16][emoji16][emoji16]Una uhakika huyo ni mpenzi wako???
Ha ha ha[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiona zishapita siku 2 hamjawasiliana...Ukiwa unamuongelea Tumia wakati uliopita tafadhali coz tayari huyo amekupiga chini
Nimesema tu wana nyota hio kiongozi😃😃😃😃Kwaiyo mkuu ma Rais waliyopita wote wake zao ni walimu?
290 nyingi hiyo boss hiyo hasara inabidi upate mademu wanne free ambao n wastani wa 70k kila mmoja. Coz demu mpaka anakula hiyo 290k na hujamla ujue uzembe upo kwako ..Kimjini mjini 50k ukiipangilia vizur ,inatosha kumla demu wowoteBora ya wewe mi ndio Tangu mwezi wa tatu amekula 290k. na Text ananinibu kifupi nashukuru nimeshindwa kabla hajala sana Hela zangu.
Usikute sio mpenzi wake 😁 au jamaa yupo mwenyewe tu Kwenye hayo mahusiano[emoji16][emoji16][emoji16]
Usithubutu Kuoa huyo Mwanamke, Utakuja kulea watoto sio wako Uje kuleta uzi mwingine hapa, Yani Una nia ya Kuoa halafu mtu anazingua! Kuna asilimia Kubwa hiyo Yupo na Mpenzi wake ama Wamezinguana au wamepeana nafasi kidogo na Hiyo Kujibu meseji zako inawezekana ni sababu Unampelekea Vizawadi ndo maana, Achana nae Huyo Utapoteza muda wako bureNajaribu kuvuta subra wenda ataelewa somo kwasababu nataka nioe kabisa
Kuna jamaa yangu ye anasemaga hawa Mi nachapa natembea sometimes wanazingua sana, Hongera kwa Kufanya Uamuzi sahihi BrooNimempiga mmoja chini Kama sku tatu nyuma hv nilimpa kila kitu na kumjar kila kitu yeye na mwanae na kutambua umuhimu wa familia yao
Baada ya kufika mjini akabadilika akaniona sifai ukimya mwingi ukiuliza Yuko bize na chuo Mara sio kila anapokuwa anaweza pokea simu yangu nkaona isiwe tabu wacha nibaki Kama nilivyo Mara ya mwisho anasema yeye sio lazima kuolewa na mim Wala mm sio lazima kumuoa yeye
Hawa ndio wanawake aiseee utawekeza kwake lakini mwenzio anawaza malengo yake TU Wala sikutaka fadhira zake anirudishie nitaumia coz nampenda but Nisha aamua Ni move on Mana mpaka ana fikia hatua ya kukwambia nisimharibie siku
Wallah nimecheka.Una uhakika huyo ni mpenzi wako???
Shukrani Sana kwa level alio fikia nikaona wacha nitembeee na ananibu kwa nyodo Sana nilicho mwambia dunia duara hich ulicho fanya pigo lake lajaKuna jamaa yangu ye anasemaga hawa Mi nachapa natembea sometimes wanazingua sana, Hongera kwa Kufanya Uamuzi sahihi Broo
Au anaota[emoji1787][emoji1787][emoji23]Usikute sio mpenzi wake [emoji16] au jamaa yupo mwenyewe tu Kwenye hayo mahusiano
Ahsante kwa kujibu! Sasa kiongozi kwa jinsi ulivyomuelezea uzuri wake ina maana anatongozwa na watu wengi sana, hivyo anapata kiburi kwamba anapendwa na wengi! Kwa kifupi amewapanga wengi! Kingine kinaweza kuwa ni ubinafsi wake unafanya anakuwa hivyo. Nakupa haya kwa uzoefu niliupata kwa msichana mmoja, yaani alikuwa na tabia kama hizo, nilichofanya sikumtafuta kabisa, mwenyewe akaanza ku-view status zangu na kuanza ku-comment. Sikuwa namjibu, alinyoosha mikono. Mkuu chukua maamuzi magumu, unaweza pata stress bure! Kila la kheri!Yee ana miaka 29
Ni mwalimu wa secondary
Mitandao anapenda instagram anapenda showoff nying
Anakuchukulia huna maana kwake. Zaidi anakuona msumbufu tu. Yeye na boyfriend wake wanakuchora tu. Tafuta atakayekuthamini. Huyo achana nayeMpk nakuja hapa na siku 4 sijamtafuta ... Nae ajanitafuta hata kwa msg