Nina mpenzi mpya ila mpaka mimi nimtafute

Ha ha ha...mkubwa umri ila una mambo ya kitoto sana[emoji848][emoji848][emoji16]

Mpaka hapo hujui hupendwi?

Ukiona mwanamke hana shobo na weee ktk chatting ujue hupendwi

Wewe hupendwi hata kidogooo
Taratibu jamani mtakuja kuua watu na presha😅
 
Ushaambiwa single madhaz muachane nao hamsikiii😅
 
Unalia umepoteza elfu 30 .

Mimi niliooteza si chini ya milioni 10 na makaburi ya wazazi wake nilijenga, ila naamini Mungu atanifuta machozi kwa furaha siku yangu ikifika
Hahahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…