God will make a way where it seems to be no way!!
Jamaaa anamtafutia mchungaji soko...Bro umeandika huu uzi ili watu waulize huyo mchungaji watume hela pumbavu zako acha utapeli mkuu
Mkuu unamtafutia mchungaji sokomwaka 2022 nilihudhuria mkutano wa mwamposa bukoba, baada ya hapo nilifanikiwa kuacha pombe, pia nilipata nafasi ya kwenda semina moja adhimu sana.