min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wewe mwenye imani una bilioni ngapi asee🤔Hawana imani ndiyo maana hawafanikiwi
Wewe mwenye imani una bilioni ngapi asee🤔Hawana imani ndiyo maana hawafanikiwi
Bado napambanaWewe mwenye imani una bilioni ngapi asee🤔
Bia ndio ina akili ya kupata pesa na kwenye viwanja vya bia ndio kuna watu wana mchongo ya maanaChukua bia mbili baridi kunywa, utulize wenge kwanza....
OK piga goti tu , Mungu hachelewi kujibuBado napambana
Hatari. Evelyn SaltChukua bia mbili baridi kunywa, utulize wenge kwanza....
Pole sana. Achana na wanaokukejeli. Kikubwa ni kuamini. Yale usiyoweza Yesu Kristo anaweza! Mpe yeye atakufanikisha. Kikubwa kabisa omba neema ya Mungu, muite na atakuitikia. Kwa sababu wewe unaamini basi tamka kwa imani Mungu njoo sasa kwa sababu Yesu Kristo alipokufa msalabani yote yalikwisha na ufukara madeni vyote viliisha na nguvu zote za kunifanikisha kila jambo liliamriwa hapo msalabani, mruhusu Yesu afufuke na wewe!Ni mwaka wa tatu sasa tangu niamue kabisa kuacha uzinzi na pombe na kuamua kutulia na mke wangu tu.
wakati wote nimejitahidi kuishi kwa kufuata neno la Mungu pamoja na kusali sana.
Nimezingatia kufunga, kutoa sadaka, zaka na michango mbalimbali.
Mwaka jana mwezi Agosti niliweza kununua tena kausafiri kazuri ka kutembelea,
sambamba na kuanzisha mradi wa kilimo cha bustAni kubwa.
mwezi wa pili mwaka huu, Mrs alipata changamoto kazini, iliyopelekea kuhamishwa kituo, hivyo nilijikuta nauza gari ili kulipa madeni ambayo tulikuwa tumejikopesha.
nimeendelea na kilimo lkn hadi sasa mtaji umeisha, sina namna ya kuweza kuendelea na mradi.
hivyo nimepoteza Gari yangu na mtaji wa mradi ambavyo nilifanikiwa kuvipata baada ta maisha ya wokovu wangu,
ikumbukwe huko nyuma nishaanzisha miradi mingi na ikafa,
Mbali na hayo mimi ni mwajiriwa, lkn nimekwama kbs kiutumishi,
nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.
Kama mwaka na nusu umepita Kuna jamaangu nilimshauri kuhusu madhara ya uzinzi, akazingatia,
juzi nimekutana naye akiwa na furaha kuu kwa mafanikio aliyoyapata baada ya kuzingatia ushauri niliyompatia,
yeye anasema alituma kwa mchungaji mchango wa SH. elfu 20 tu, baada ya kuinenea.
tangia hapo alifunguliwa na neema zinamfata mpaka sasa,
ikumbukwe wakati namshauri anasema alikuwa amekata kbs tamAa ya maisha,
miradi yake ilikuwa imekufaa, madeni kila kona, mshahara unapitiliza tu bila kununua hata shati,
sawa na hali ambayo naipitia mimi.
pmj na mambo mengi tuliyoongea,
amenishauri nihudhurie kanisani kwao kwa ajili ya maombi ya kufunga na kukesha,
kwamba RC ninakosali hakuna nguvu za kiroho,
npo njia panda sielewi kinachoniangusha na wapi ntApata msaada.
- kumradhi kwa uandishi na mpangilio mbovu,
penye utata uliza ntafafanua vzr
- Matusi na lugha za kejeli naomba sana viepukwe.
Kula bia bro afu urelax kwanza, kesho saa kumi unicheki nikupe ushauri wa kukata na shoka....ikibidi tukakae kaunta nikupee ushauri hapoHatari. Evelyn Salt
Kuweni makini kuna watu wanatafutwa hapa, ili watume fwedha kwa mchungajiNi mwaka wa tatu sasa tangu niamue kabisa kuacha uzinzi na pombe na kuamua kutulia na mke wangu tu.
wakati wote nimejitahidi kuishi kwa kufuata neno la Mungu pamoja na kusali sana.
Nimezingatia kufunga, kutoa sadaka, zaka na michango mbalimbali.
Mwaka jana mwezi Agosti niliweza kununua tena kausafiri kazuri ka kutembelea,
sambamba na kuanzisha mradi wa kilimo cha bustAni kubwa.
mwezi wa pili mwaka huu, Mrs alipata changamoto kazini, iliyopelekea kuhamishwa kituo, hivyo nilijikuta nauza gari ili kulipa madeni ambayo tulikuwa tumejikopesha.
nimeendelea na kilimo lkn hadi sasa mtaji umeisha, sina namna ya kuweza kuendelea na mradi.
hivyo nimepoteza Gari yangu na mtaji wa mradi ambavyo nilifanikiwa kuvipata baada ta maisha ya wokovu wangu,
ikumbukwe huko nyuma nishaanzisha miradi mingi na ikafa,
Mbali na hayo mimi ni mwajiriwa, lkn nimekwama kbs kiutumishi,
nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.
Kama mwaka na nusu umepita Kuna jamaangu nilimshauri kuhusu madhara ya uzinzi, akazingatia,
juzi nimekutana naye akiwa na furaha kuu kwa mafanikio aliyoyapata baada ya kuzingatia ushauri niliyompatia,
yeye anasema alituma kwa mchungaji mchango wa SH. elfu 20 tu, baada ya kuinenea.
tangia hapo alifunguliwa na neema zinamfata mpaka sasa,
ikumbukwe wakati namshauri anasema alikuwa amekata kbs tamAa ya maisha,
miradi yake ilikuwa imekufaa, madeni kila kona, mshahara unapitiliza tu bila kununua hata shati,
sawa na hali ambayo naipitia mimi.
pmj na mambo mengi tuliyoongea,
amenishauri nihudhurie kanisani kwao kwa ajili ya maombi ya kufunga na kukesha,
kwamba RC ninakosali hakuna nguvu za kiroho,
npo njia panda sielewi kinachoniangusha na wapi ntApata msaada.
- kumradhi kwa uandishi na mpangilio mbovu,
penye utata uliza ntafafanua vzr
- Matusi na lugha za kejeli naomba sana viepukwe.
namaanisha kupanda wadhifa/mamlaka sehemu ya kazi.""nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.""
Kwanini hili unaruhusu litokee??
Utumishi @ Dodoma HUPAJUI???
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unao ya nene kwa kutuma hiyo pesa au unafikiri Mungu hayajui mahitaji yako? Sadaka nzuri ni ile ya kutoa na kukaa kimya.Ukimpa Kilema msaada. Na ukasema ni sadaka yako. Na ukainenea. Itakuwa ni ushirikina?.
Unao ya nene kwa kutuma hiyo pesa au unafikiri Mungu hayajui mahitaji yako? Sadaka nzuri ni ile ya kutoa na kukaa kimya.
What you Invision is what happen,kinywa Huwa kinaumba acha hizo,kwanza miradi iliyokufa yote ni general lesson,anza Tena kwa soft loan za saccos ( Mikopo ya dharula) miezi mitatu mitatu na usiwaze kufurahisha wapambe be of your ownnpo gizani,
nahisi kuna nguvu mbaya inaniharibia,
asante sn,
kila leo ni kupoteza tu pesa na fursa