Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Sometimes usipate tabu sana ...Kubali life is a constant disaster ,ukijipa stress no one will save you...Kuna kipind hata mimi nilipofikia siwezi kujipa stress za kijinga ...Kama una mke anakuunga mkono na familia haina haja ya kujipa stress.
Pia ,jaribu kumsikiliza huyo jamaa yako kama una imani ya dini ,nenda kamuone huyo mtumishi ...Maisha ni haya haya .
Unaongelea hivyo biashara ,kuna watu tumeshushwa kutoka sekta nyeti ,ilikuwa unapiga pesa ;kuanzia mshahara .Leo unarudi down na wengine wanaachwa huko huko ,ni miaka sasa tunakula maisha hata hao jamaa wa huko hatuna urafiki nao ili maisha yaende vizuri...Hakuja kujipa stress.