Kuwa na saa moja la kuomba kila siku PEKEE yakoNi mwaka wa tatu sasa tangu niamue kabisa kuacha uzinzi na pombe na kuamua kutulia na mke wangu tu.
wakati wote nimejitahidi kuishi kwa kufuata neno la Mungu pamoja na kusali sana.
Nimezingatia kufunga, kutoa sadaka, zaka na michango mbalimbali.
Mwaka jana mwezi Agosti niliweza kununua tena kausafiri kazuri ka kutembelea,
sambamba na kuanzisha mradi wa kilimo cha bustAni kubwa.
mwezi wa pili mwaka huu, Mrs alipata changamoto kazini, iliyopelekea kuhamishwa kituo, hivyo nilijikuta nauza gari ili kulipa madeni ambayo tulikuwa tumejikopesha.
nimeendelea na kilimo lkn hadi sasa mtaji umeisha, sina namna ya kuweza kuendelea na mradi.
hivyo nimepoteza Gari yangu na mtaji wa mradi ambavyo nilifanikiwa kuvipata baada ta maisha ya wokovu wangu,
ikumbukwe huko nyuma nishaanzisha miradi mingi na ikafa,
Mbali na hayo mimi ni mwajiriwa, lkn nimekwama kbs kiutumishi,
nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.
Kama mwaka na nusu umepita Kuna jamaangu nilimshauri kuhusu madhara ya uzinzi, akazingatia,
juzi nimekutana naye akiwa na furaha kuu kwa mafanikio aliyoyapata baada ya kuzingatia ushauri niliyompatia,
yeye anasema alituma kwa mchungaji mchango wa SH. elfu 20 tu, baada ya kuinenea.
tangia hapo alifunguliwa na neema zinamfata mpaka sasa,
ikumbukwe wakati namshauri anasema alikuwa amekata kbs tamAa ya maisha,
miradi yake ilikuwa imekufaa, madeni kila kona, mshahara unapitiliza tu bila kununua hata shati,
sawa na hali ambayo naipitia mimi.
pmj na mambo mengi tuliyoongea,
amenishauri nihudhurie kanisani kwao kwa ajili ya maombi ya kufunga na kukesha,
kwamba RC ninakosali hakuna nguvu za kiroho,
npo njia panda sielewi kinachoniangusha na wapi ntApata msaada.
- kumradhi kwa uandishi na mpangilio mbovu,
penye utata uliza ntafafanua vzr
- Matusi na lugha za kejeli naomba sana viepukwe.
Kila hela unayopata,mpatie yeye akutunzie; ukihitaji uwe unamuomba.ndio,
ananisapoti sana,
ni mtu sana
Kutoa sadaka ni jambo jema lakini kuna hatari ya kutoa sadaka kama hongo.Ni mwaka wa tatu sasa tangu niamue kabisa kuacha uzinzi na pombe na kuamua kutulia na mke wangu tu.
wakati wote nimejitahidi kuishi kwa kufuata neno la Mungu pamoja na kusali sana.
Nimezingatia kufunga, kutoa sadaka, zaka na michango mbalimbali.
Mwaka jana mwezi Agosti niliweza kununua tena kausafiri kazuri ka kutembelea,
sambamba na kuanzisha mradi wa kilimo cha bustAni kubwa.
mwezi wa pili mwaka huu, Mrs alipata changamoto kazini, iliyopelekea kuhamishwa kituo, hivyo nilijikuta nauza gari ili kulipa madeni ambayo tulikuwa tumejikopesha.
nimeendelea na kilimo lkn hadi sasa mtaji umeisha, sina namna ya kuweza kuendelea na mradi.
hivyo nimepoteza Gari yangu na mtaji wa mradi ambavyo nilifanikiwa kuvipata baada ta maisha ya wokovu wangu,
ikumbukwe huko nyuma nishaanzisha miradi mingi na ikafa,
Mbali na hayo mimi ni mwajiriwa, lkn nimekwama kbs kiutumishi,
nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.
Kama mwaka na nusu umepita Kuna jamaangu nilimshauri kuhusu madhara ya uzinzi, akazingatia,
juzi nimekutana naye akiwa na furaha kuu kwa mafanikio aliyoyapata baada ya kuzingatia ushauri niliyompatia,
yeye anasema alituma kwa mchungaji mchango wa SH. elfu 20 tu, baada ya kuinenea.
tangia hapo alifunguliwa na neema zinamfata mpaka sasa,
ikumbukwe wakati namshauri anasema alikuwa amekata kbs tamAa ya maisha,
miradi yake ilikuwa imekufaa, madeni kila kona, mshahara unapitiliza tu bila kununua hata shati,
sawa na hali ambayo naipitia mimi.
pmj na mambo mengi tuliyoongea,
amenishauri nihudhurie kanisani kwao kwa ajili ya maombi ya kufunga na kukesha,
kwamba RC ninakosali hakuna nguvu za kiroho,
npo njia panda sielewi kinachoniangusha na wapi ntApata msaada.
- kumradhi kwa uandishi na mpangilio mbovu,
penye utata uliza ntafafanua vzr
- Matusi na lugha za kejeli naomba sana viepukwe.
Kunywa nyagi acha uboyaNi mwaka wa tatu sasa tangu niamue kabisa kuacha uzinzi na pombe na kuamua kutulia na mke wangu tu.

Inawezekana kabisa, watu wamekuwa si watu sk hiziBro umeandika huu uzi ili watu waulize huyo mchungaji watume hela pumbavu zako acha utapeli mkuu
Nakazia ujumbe wako mkuu upo sahihi kbsaSometimes usipate tabu sana ...Kubali life is a constant disaster ,ukijipa stress no one will save you...Kuna kipind hata mimi nilipofikia siwezi kujipa stress za kijinga ...Kama una mke anakuunga mkono na familia haina haja ya kujipa stress.
Pia ,jaribu kumsikiliza huyo jamaa yako kama una imani ya dini ,nenda kamuone huyo mtumishi ...Maisha ni haya haya .
Unaongelea hivyo biashara ,kuna watu tumeshushwa kutoka sekta nyeti ,ilikuwa unapiga pesa ;kuanzia mshahara .Leo unarudi down na wengine wanaachwa huko huko ,ni miaka sasa tunakula maisha hata hao jamaa wa huko hatuna urafiki nao ili maisha yaende vizuri...Hakuja kujipa stress.
Kwahiyo arudi kwenye enzi zake za ulevi na pombe?Tatizo ni ndoa ..ukiingia tu imeisha
We Mzee mbona unatukana?Pumbavu
Kila mmoja anapitia magumu ni namna watu wanavoweza kukabiliana nayo
Kufel Kwa maisha sio kwamba et uhame Iman yako utafute Iman ingine Hilo ni jaribu umepewa na mungu tafuta namna ya kuongea naye na pia tafuta suluhisho la mambo yako Kwa watu wenye uzoefu na mambo hayo
mwaka 2022 nilihudhuria mkutano wa mwamposa bukoba, baada ya hapo nilifanikiwa kuacha pombe, pia nilipata nafasi ya kwenda semina moja adhimu sana.
Oya mkuu tunaomba uzi wa chat gpt mwingine ule umeishiwa nguvuKila hela unayopata,mpatie yeye akutunzie; ukihitaji uwe unamuomba.
Tatizo kubwa la wakiristo mmefanya dini kuwa biashara utapeli na uchawi juuNi mwaka wa tatu sasa tangu niamue kabisa kuacha uzinzi na pombe na kuamua kutulia na mke wangu tu.
wakati wote nimejitahidi kuishi kwa kufuata neno la Mungu pamoja na kusali sana.
Nimezingatia kufunga, kutoa sadaka, zaka na michango mbalimbali.
Mwaka jana mwezi Agosti niliweza kununua tena kausafiri kazuri ka kutembelea,
sambamba na kuanzisha mradi wa kilimo cha bustAni kubwa.
mwezi wa pili mwaka huu, Mrs alipata changamoto kazini, iliyopelekea kuhamishwa kituo, hivyo nilijikuta nauza gari ili kulipa madeni ambayo tulikuwa tumejikopesha.
nimeendelea na kilimo lkn hadi sasa mtaji umeisha, sina namna ya kuweza kuendelea na mradi.
hivyo nimepoteza Gari yangu na mtaji wa mradi ambavyo nilifanikiwa kuvipata baada ta maisha ya wokovu wangu,
ikumbukwe huko nyuma nishaanzisha miradi mingi na ikafa,
Mbali na hayo mimi ni mwajiriwa, lkn nimekwama kbs kiutumishi,
nina miaka 14 tangu nihitimu shahada lkn sijafanikiw kupanda cheo kazini.
Kama mwaka na nusu umepita Kuna jamaangu nilimshauri kuhusu madhara ya uzinzi, akazingatia,
juzi nimekutana naye akiwa na furaha kuu kwa mafanikio aliyoyapata baada ya kuzingatia ushauri niliyompatia,
yeye anasema alituma kwa mchungaji mchango wa SH. elfu 20 tu, baada ya kuinenea.
tangia hapo alifunguliwa na neema zinamfata mpaka sasa,
ikumbukwe wakati namshauri anasema alikuwa amekata kbs tamAa ya maisha,
miradi yake ilikuwa imekufaa, madeni kila kona, mshahara unapitiliza tu bila kununua hata shati,
sawa na hali ambayo naipitia mimi.
pmj na mambo mengi tuliyoongea,
amenishauri nihudhurie kanisani kwao kwa ajili ya maombi ya kufunga na kukesha,
kwamba RC ninakosali hakuna nguvu za kiroho,
npo njia panda sielewi kinachoniangusha na wapi ntApata msaada.
- kumradhi kwa uandishi na mpangilio mbovu,
penye utata uliza ntafafanua vzr
- Matusi na lugha za kejeli naomba sana viepukwe.
Wakiitwa walio gizani wewe haumo. Acha kudanganya watu hapa.npo gizani,
nahisi kuna nguvu mbaya inaniharibia,
Nitafutie vijana 50 wawe wanatembezea kahawa kwenye birika maeneo ya stendi asubuhi na jioni.Oya mkuu tunaomba uzi wa chat gpt mwingine ule umeishiwa nguvu
Tunaomba utuletee nguruwe 50 wengine kutoka chat gpt na kilimo cha chatgpt tunaomba sanaNitafutie vijana 50 wawe wanatembezea kahawa kwenye birika maeneo ya stendi asubuhi na jioni.