Mkulu wawe
Member
- Mar 4, 2020
- 87
- 111
Wakuu nimefukuzwa kazi
Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsia :MeWewe ni jinsia Gani?
Upo mkoa Gani?
Umri wako
Nitakupa wazo bure
Mkoa wa Kagera wilaya gani?Jinsia :Me
Mkoa:Kagera
Miaka:28
Una hatarree wewenunua kabati la aluminium la chips 200000
Mafuta lita tano 30000
Viazi kilo 20 ni 20000
meza na viti 100000
Karai la kukaanfa chips na sahani na tomato na chil sauce 50000
Yai trey 10000
Anza kazi
Hakuna pesa isiyofanya biasharaLaki4 ndogo sana kwa biashara..
Tafuta kazi za saidia fundi jichange mpaka upate tena laki sita alafu ongezea iwe milioni ndo uanze kutafuta cha kufanya
Ushauri huu ni kwa dar, mikoani sidhani kama unanufaika.nunua kabati la aluminium la chips 200000
Mafuta lita tano 30000
Viazi kilo 20 ni 20000
meza na viti 100000
Karai la kukaanfa chips na sahani na tomato na chil sauce 50000
Yai trey 10000
Anza kazi
Ety eeeh...Hakuna pesa isiyofanya biashara
Hata elfu 10 unafanya biashara
Hakuna pesa ndogo, hiyo laki nne ni kubwa sanaaa MAAMUZI NA UTHUBUTULaki4 ndogo sana kwa biashara..
Tafuta kazi za saidia fundi jichange mpaka upate tena laki sita alafu ongezea iwe milioni ndo uanze kutafuta cha kufanya
Madam wangu... Laki nne anafanya biashara gani etHakuna pesa ndogo, hiyo laki nne ni kubwa sanaaa MAAMUZI NA UTHUBUTU
Laki 4 mbona anafanya biashara na anaishi good kabisaEty eeeh...
Kumbe ujajua bado wewe