Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Wewe binafsi huna idea yoyote nini cha kufanya? Tuache uvivu wa kufikiri. Tazama fursa za kiuchumi ulipo kisha urudi hapa ukitaja wewe ni nani,una ujuzi gani,upo sehemu yenye fursa zipi,commitment yako ikoje kwa maana ya muda usimamizi na ufuatiliaji kisha urudi jukwaani upate ushauri.
Safi aanze kwa kujieleza hayo na mimi nitamswalika maswali baada ya hapo, anaweza kuanza biashara, lakini hatuwezi kuanza kumpa wazo la biashara
 
Hii nasema mimi kwa experience yangu.....

View attachment 3167914
Hivi vidude unavijua?? Vinaitwa visheti watoto wanaviita vibolo.

Ukivipika kilo tano ni vya elf 50, kilo moja inatoa vibolo 100.

Mahitaji ya kilo tano ni ngano kg 5, amira tatu ni 300, nazi 1, mafuta lita 1.5-2 sukari kilo 1 na robo.

Mtaji hauzidi hata elf 30, na ukitaka kufaidi pesa yake nunua ngano ya mfuko, mfuko wa ngano ni elf 40.

Wasema laki nne haitoshi 🤸🤸🤸 naomba laki mie nkanywe bia, nakuinbox my yas namba
Madamu hii biashara per day unakusanta ngapi..?
 
Back
Top Bottom