Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Jinsia :Me
Mkoa:Kagera
Miaka:28
Tafuta sehemu nzuri centre
Anza kuwekea watu macover ya simu na protector
Protector za kawaida jumla ni sh mia.tano
Mteja mmoja bei chini Sana utamuwekea kwa elfu 5.
Cover nazo unatafuta za Mia nane jumla .utawauzia elfu 5
Kwa ushauri zaidi nicheki saa 5 usiku nikiwa free.hapa Niko busy
 
nunua kabati la aluminium la chips 200000

Mafuta lita tano 30000
Viazi kilo 20 ni 20000
meza na viti 100000
Karai la kukaanfa chips na sahani na tomato na chil sauce 50000

Yai trey 10000

Anza kazi
Umenikumbusha mbali sana hii biashara ione kwa mwenzako nilimuweka Dogo muha mara kuku na mishkak inabaki hadi ina chacha, gas inaisha kila wiki faida inakuwa ya kununulia gas, mara kodi.
Nikakuta jiko na kabati nmerudisha geto nikaja kuyauza kwa hasara.
Ila ajaribu aone
 
Tafuta sehemu nzuri centre
Anza kuwekea watu macover ya simu na protector
Protector za kawaida jumla ni sh mia.tano
Mteja mmoja bei chini Sana utamuwekea kwa elfu 5.
Cover nazo unatafuta za Mia nane jumla .utawauzia elfu 5
Kwa ushauri zaidi nicheki saa 5 usiku nikiwa free.hapa Niko busy
Pesa hiyo umempa bonge la idea
 
Tafuta sehemu nzuri centre
Anza kuwekea watu macover ya simu na protector
Protector za kawaida jumla ni sh mia.tano
Mteja mmoja bei chini Sana utamuwekea kwa elfu 5.
Cover nazo unatafuta za Mia nane jumla .utawauzia elfu 5
Kwa ushauri zaidi nicheki saa 5 usiku nikiwa free.hapa Niko busy
Haupo serious ujue
 
Madam wangu... Laki nne anafanya biashara gani et
Hii nasema mimi kwa experience yangu.....

images (1).jpeg

Hivi vidude unavijua?? Vinaitwa visheti watoto wanaviita vibolo.

Ukivipika kilo tano ni vya elf 50, kilo moja inatoa vibolo 100.

Mahitaji ya kilo tano ni ngano kg 5, amira tatu ni 300, nazi 1, mafuta lita 1.5-2 sukari kilo 1 na robo.

Mtaji hauzidi hata elf 30, na ukitaka kufaidi pesa yake nunua ngano ya mfuko, mfuko wa ngano ni elf 40.

Wasema laki nne haitoshi 🤸🤸🤸 naomba laki mie nkanywe bia, nakuinbox my yas namba
 
Nenda maeneo ya Kariakoo, Tafuta sehemu moja jirani na DDC mitaa ya Msimbazi, vuta kiti ukae, tafuta mhudumu mmoja, Mwambie akupatie Mbuzi choma nusu, Ndizi nane aweke na kachumbari, agiza na bia zako nne za baridi, Piga taratibu, Enjoy Life! Afya ni MTAJI.
Duuuh
 
Hii nasema mimi kwa experience yangu.....

View attachment 3167914
Hivi vidude unavijua?? Vinaitwa visheti watoto wanaviita vibolo.

Ukivipika kilo tano ni vya elf 50, kilo moja inatoa vibolo 100.

Mahitaji ya kilo tano ni ngano kg 5, amira 300, nazi 1, mafuta lita 1.5 sukari kilo 1 na robo.

Mtaji hauzidi hata elf 30, na ukitaka kufaidi pesa yake nunua ngano ya mfuko, mfuko wa ngano ni elf 40.

Wasama laki nnae haitoshi 🤸🤸🤸 naomba laki mie nkanywe bia, nakuinbox my yas namba
Kwa hili wazi akulipe tu
Ila huko kumix kwenye nyashi hebu elezea Kwa kirefi😄
 
Back
Top Bottom