Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Nilifanya biashara ya kuuza U-Fresh kwa kununua carton mbili zilikuwa zinauza 4,500 nadhani kama sijasahau kwa carton. Nauza moja mia mbili ikiwa imeganda zilikuwa zinapendwa sana mtaani.
Biashara hata kwa buku kumi unafanya.
Daaah kuna watu mna utani na biashara seriously
 
Hawajui biashara
Hizi simu Zina hitaji service na urembo wa covers kijana anayekomaa kwenye hizi harakati anatoboa
Mfano hizi cover za simu ndogo jumla ni 900 tuseme na usafiri Hadi ngara 1200
Ngara elfu 3500 Hadi 5000 si wananunua jamani
 
Attachments

  • IMG_20241203_121715.jpg
    IMG_20241203_121715.jpg
    311.6 KB · Views: 2
Nilifanya biashara ya kuuza U-Fresh kwa kununua carton mbili zilikuwa zinauza 4,500 nadhani kama sijasahau kwa carton. Nauza moja mia mbili ikiwa imeganda zilikuwa zinapendwa sana mtaani.
Biashara hata kwa buku kumi unafanya.
Ni kweli sema ukitaka faida unatengeneza mwenyewe .ila watoto wa shule wanazipenda kweli.ilakwenye caton faida haizidi 1500
 
Pesa ndefu hiyo unaweza toboa vizuri tu ukiamini unachokifanya.
Tengeneza karanga na kuzifunga kwenye vifuko then pita madukani na kuziuza kwa bei ya jumla.
Au njoo huku Dar ufanye biashara ya kuuza matunda- ndizi mbivu, parachichi, machungwa, matango, mananasi, mapapai na matikiti.
 
Back
Top Bottom