Nina mtaji wa laki nne na nusu, naombeni ushauri nifaye nini?

Wewe binafsi huna idea yoyote nini cha kufanya? Tuache uvivu wa kufikiri. Tazama fursa za kiuchumi ulipo kisha urudi hapa ukitaja wewe ni nani,una ujuzi gani,upo sehemu yenye fursa zipi,commitment yako ikoje kwa maana ya muda usimamizi na ufuatiliaji kisha urudi jukwaani upate ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…