Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani

Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani

1. Kafungue fixed deposit akaunti ya miezi 6 uziweke halafu uendelee kutafuta tena milioni 10 nyingine ya kuongezea huku ukitafakari cha kufanya na kujifunza kuhusu uwekezaji. Ukishapata 20-25M, Jenga frame ndogo na ununue vifaa vya bakery uanze.
2. Anzisha biashara ya vinywaji (ukitaka ikulipe pombe zisikosekane). Uwe na kijiwe ambacho mtu anaweza kunywa hapo hapo na uweke mtu wa chomachoma na bites/Burger/Pizza etc.
3. Biashara ya Mazao ya nafaka kununua na kuuza jumla. Kodisha godown la kukusanyia.
 
Tafuta mtu mwenye kampuni ya kukopesha ongea naye ufungue tawi kwa jina la kampuni yake. Mtakuwa mna share cost za kodi. Tafuta frem anza kuwakopesha wamama wajasiriamali kwa riba. Ukiiweza hyo baada ya mwaka mmoja unafungua kampuni yako.

Kama unaweza tembea nayo hii
 
Back
Top Bottom