Winnie Winnie
Senior Member
- Aug 23, 2024
- 132
- 293
Zilite tupate kitimoto na larger baridi huku tukipeana ushauri kuhusu fursa zilizopo za uwekezajiHabari wana jf
Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani ambayo inaingiza kipato kizuri kwa siku ambayo haitaniletea hasara?
Mambo ya dildo hayo....ππππMtu mwenye Mil 10 na hujui ufanyie nn? Kwani umezipatajee?
Em tuanzie hapo kwani!! Lol
Nipo DarUpo wapi.... Maana wazo linakuwa Bora zaidi ukitaja location sababu fursa zinatofautiana kutokana na mazingira
Nimetumiwa nianze biasharaMambo ya dildo hayo....ππππ
Nimetumiwa nianze biasharaUmezipataje hizo milioni kumi?
Nimetumiwa nianze biasharaUmezitoa wapi ?
Kama uko serious mtafute Kelvin Kibenje... Instagram !!
Nimetumiwa nianze biasharaMambo ya dildo hayo....ππππ
Hahaha π€£Zilite tupate kitimoto na larger baridi huku tukipeana ushauri kuhusu fursa zilizopo za uwekezaji
Mweeeh ππππNimetumiwa nianze biashara
HongeraaaaaNimetumiwa nianze biashara