Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

mh bajaj mpya ni m8+ na ukijichanganya kununua used ni maumivu sana bajaj nyingi hazina usimamizi mzuri nje unaweza iona imesimama ila ndani majanga matupu
Used nikichukua dar nikaleta hapa singida jeee
 
hiyo hela ni Bora uanzishe biashara ya mafuta ya kula ya alizeti kutoka singida utanishukuru
Tupe details kuhusu hii biashahara

A, mtaji kiasi gani wa kuanzia?

B,biashara ipo mfumo gani ni udalali au unafungua frame kabisa kwa ajili ya wanunuzi?

C, changamoto ya upatikanaji mafuta, changamoto ya usafirishaji na kwa wanunuzi

D,faida inapatikanaje, mf lita moja itakupa faida ya kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya biashara ya uwakala na ukihitaji ushauri au namna ya kuzipata laini nicheki wasap 0738969626
Logo_Maker_com.ist.logomaker_Fri_Aug_12_17_28_01_GMT_03_00_2022_1660314481288.jpg
 
Hongera kwa kuweza kutunza. Kuanzia Ijumaa tupo wadau kadhaa tunajadiliana mambo hayo hapa Opp na Mlimani city. Kama vipi njoo tushauriane.na leo tena saa 10 tunakutana wadau mpaka saa 7 au 8 usiku. Mjadala ni mpana mambo mengi so kila weekend tutakutana. Njoo utapata tu wazo la kufanya.
 
Tafuta wale mademu wote ambao walikuwa wanakuona umechoka huna kitu sasa ndo wakati wake. Unawaita bar mmoja mmoja...unamnywesha mpaka anazima. Unamwacha unaondoka zako.na kesho mwingine tena.
 
Tupe details kuhusu hii biashahara

A, mtaji kiasi gani wa kuanzia?

B,biashara ipo mfumo gani ni udalali au unafungua frame kabisa kwa ajili ya wanunuzi?

C, changamoto ya upatikanaji mafuta, changamoto ya usafirishaji na kwa wanunuzi

D,faida inapatikanaje, mf lita moja itakupa faida ya kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijitahidi nikijuacho…


1. Wewe na mfuko

2. Hapo sasa ni ww, either ufungue frame/ stoo ama uwe unaweka home kwako kama kuna nafasi….

3. Changamoto ipo wakati ambapo alizeti iko shambani,, pale unaweza pata alizeti itakayokutoleshea mafuta yasio mazuri… yenye povu na machungu

4. Dumu la lita 20 Singida linauzwa 80K.. unaweza pack kwa 5lt ama ukauza lt 20… ukipack kwa 5lt sana sana 5lt utakuja kuuza kwa 27000 au juu pia kutegemea na soko .. ktk 20lt utatoa 5lt 4= 108,000 … ukitoa 80k uliyonunulia dumu la 20lt,, itabaki faida 28,000…. Ndani ya 28,000 toa gharama za kidumu cha 5lt na stika utakayobandika kwenye pack yako ya 5lt… hii itakusaidia hata uweze kuuza mafuta kwa supermarkets….

Ukitoa hapo hizo cost waweza bakia na 25k kama faida kwa dumu moja la 20lt
 
Achana na bodaboda fanya biashara utakayoweza kuisimamia mwemyewe au nunua moja endesha mwenyew

Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana

Kama unafaham changamoto au ushauri plz se

Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6
Nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana

Kama unafaham changamoto au ushauri plz sema
Boda boda INA hela kikubwa usimamiz na ni biashara isio na kulipa fremu ya kodi wala kitu gani unapata hela cash kwa weeek hesabu 7tsh piga kwa week na mwez kwa hela hyo hela IPO
 
Back
Top Bottom