Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

Inawezekana boda boda ikawa inalipa .ila iwe nje ya mji kidogo hawa wa mjini wajanja wajanja tu .kuna vijana hapa ninapoishi ni boda boda na wamejenga nyumba zao wamejisitiri tu vizur. Mara nyingi huwa wananiambia ninunue boda boda lakin mimi nawaambia hii ni biashara kichaaa kumbe hela sina.ukipata madereva poa hii kazi ni nzuri ila usitemeee biashara moja hela utakuwa huioni
 
Achana na biashara kichaa hio, kwa hela hio vuta toyo au bajaj ukomae mwenyewe. Ukosi 50 kwa siku.
The best ni toyo ya mizigo paki sokoni ukiwa na wateja wako wawili tu watu wa magengeni uhakika. Nidhamu ya Kazi, uharaka, uaminifu, networking, tengeneza group lako la wasap la wateja wako, pesa utazikimbia.
Zile boda boda za Metl yeye anaziendeshaje? Kama company, je hatuwezi iga huyo investment na kudhibiti tabia za kitapeli
 
Bodaboda wapuuzi sana yalinikuta mimi.

Mungu ana nguvu sana, sisemi kwa ubaya ila Mungu fundi sana

Dogo alinidhurumu pesa zangu karibia 1M, nikachukua chombo changu tukaandikishana kwamba atanilipa ila akagoma, baada ya wiki akapata chombo kingine akaingia road Fuso ikapita nae pale pale bwana akatwaa.

Msidhurumu watu, ukidhurumu mtu anakuwa anaugulia kimya kimya Mungu anaweza kuyaona maumivu yake
 
Eeh

Eeh hatari sana kweli malipo duniani
 
Changamoto ni kwenye kumpata kijana mwaminifu., bodaboda ni wasumbufu sana alafu ni kama wanafundishana wote akili zao zinafanana
Amna kama kijana unaangalia na was kumpa kuna wengine awajui kazi huwezi MPA na lazma utakua umefanya investigation ad kumpa chombo chako wako vzur me nawamudu chombo nmefunga GPS aendi kokote anidanganyi na mwisho was kaz sa 5 baada ya hapo unaizima tuu kwa GPS aendi kokote biashara hzi zataka use na jicho
 
Bodaboda wapuuzi sana yalinikuta mimi.

Mungu ana nguvu sana, sisemi kwa ubaya ila Mungu fundi sana

Dogo alinidhurumu pesa zangu karibia 1M, nikachukua chombo changu tukaandikishana kwamba atanilipa ila akagoma, baada ya wiki akapata chombo kingine akaingia road Fuso ikapita nae pale pale bwana akatwaa.

Msidhurumu watu, ukidhurumu mtu anakuwa anaugulia kimya kimya Mungu anaweza kuyaona maumivu yake
Duh! Malipo fasta fasta tuu
 
Amna kama kijana unaangalia na was kumpa kuna wengine awajui kazi huwezi MPA na lazma utakua umefanya investigation ad kumpa chombo chako wako vzur me nawamudu chombo nmefunga GPS aendi kokote anidanganyi na mwisho was kaz sa 5 baada ya hapo unaizima tuu kwa GPS aendi kokote biashara hzi zataka use na jicho
Ebu nipe hii akini nimwage bodaboda mtaani
 
Mbona kuna watu wametoboa wao wanatumia akili gani ebu fungukeni
Usimamiz tuu mzuri kaka mfano hyo nmeitoa service Leo imetulia geto inasubir kazi kesho
 
Attachments

  • 16610906476187949941496555993376.jpg
    16610906476187949941496555993376.jpg
    437.9 KB · Views: 41
Biashara ya boda boda ni nzuri kama utaendesha mwenyewe,japo siku hizi imekua biashara ngumu kiasi maana abiria hawapandi mtu wasie mjua.

binafsi hata mimi sipandi tu boda boda ilimradi nimepanda,hivyo ili uanze ona matunda ya hii biashara itakubidi uchaji solar sana kijiweni wakati wenzio unawaona wanatoka na kuingia.

ukizoeleka biashara utapga sana ila hapo mpaka uzoeleke sasa (maji umeyaita mma)

Kwa mtaji huo nakushauri kitu ambacho vijana wengi wanakichukulia poa mno mwisho wake wanawaza mabiashara yasio na future ya kueleweka.

Binafsi siwezi fanya biashara ya boda,ila mkuu nakushauri kwa mtaji huo Hebu kaa chini tafuta location nzuri chukua frem kisha fungua DUKA LA MANGI.

duka la vitu vya majumbani tunapenda kusema dukani kwa mangi,Mkuu nakuhakikishia hili duka ukiweza litunisha mtaji kama ulionao ukajaza mazaga zaga yote na mkawa wawili (wewe na waifu) waifu mchana yote anatoka saa 8:00 usiku,wewe unaingia muda huo hadi majogoooo, BABA BABA BABA mchawi lazima uitwe braza.

Duka la mangi ni biashara bomba sana yenye Future inayoeleweka,unapokua na mtaji mkubwa biashara ya Mangi inakupa more income ila boda boda hata ujambe uharishe hutokaa hata siku 1 ulaze faida LAKI ng'ooo utachora chini.

DUKA LA MANGI uwezo wa kulaza faida zaidi ya 100k per day kila siku biashara ikija changanyia mwendo wa 360km/hr boss kama nakuona hivi utavyokuja nishukuru badae.

Achana na ma idea ya vijana sijui boda boda,sijui toyo,sijui bolt,nk (sidharau hizi idea zao) lakini future yahizo biashara zao ni inaonekana kabisa, binafsi mimi sasa hivi huwezi niambia nifungue biashara ambayo nikiiangalia baada ya 5yrs haitoweza nipa 500k per day, sifungui mimi biashara.

Biashara zenye COSTANT INCOME sizitaki na wala siziwezi,napenda duka la mangi maana the more the capital the more the income the more the customer,nk

DUKA la Mangi ni biashara ambayo kijana yeyote anaetafuta maisha na amedhamiria kupambana na ana mtaji basi simshauri mara mbili namwambia tu mara 1 Asijifikirie aifanye bila kusita sita.

Duka la mangi linauza vingi brooo,kuna mchele,unga,sabuni,wine zote,vinywaji vyote yani unakusanya unakusanya hadi ukija jumlisha faida unasema Asante BABA wewe ni mkuu.

Mama yangu alikua akimiliki duka la mangi ezi hizo,ilikua ukiingia dukani chini sakafuni kuna coin kama zote zimedondoka,huwa haziokotwi dukani kuna coin nikawa najiuliza kwann mama anaacha pesa chini? nikienda dukani kwake najifanya viatu vinanibana nikiwa pale nnje nakunywa soda navua viatu then natafuta namna yyte ile niingie dukani,napita kukanyaga maeneo yenye coin nazifinya na kidole cha mguu naziinua natia mfukoni...

Mpaka nitoke dukani mfukoni nishamake hadi buku, (buku enzi zetu wazee sio masihara)

Leo nimekua ndio naelewa kwanini duka la mangi lina pesa,kwann mama alikua haokoti coin zikidondoka,mkuu duka ya mangi ina pesa kuliko watu wafikiriavyo.

Nafanya biashara nyingi ila mwaka Huu biashara yangu kubwa ninayoenda ifungua ni DUKA LA MANGI brother penye asali washirikshe na wengine,ifanye hii biashara ina faida nyingi sana sana sana.
 
Ngoja nijitahidi nikijuacho…

1. Wewe na mfuko

2. Hapo sasa ni ww, either ufungue frame/ stoo ama uwe unaweka home kwako kama kuna nafasi….

3. Changamoto ipo wakati ambapo alizeti iko shambani,, pale unaweza pata alizeti itakayokutoleshea mafuta yasio mazuri… yenye povu na machungu

4. Dumu la lita 20 Singida linauzwa 80K.. unaweza pack kwa 5lt ama ukauza lt 20… ukipack kwa 5lt sana sana 5lt utakuja kuuza kwa 27000 au juu pia kutegemea na soko .. ktk 20lt utatoa 5lt 4= 108,000 … ukitoa 80k uliyonunulia dumu la 20lt,, itabaki faida 28,000…. Ndani ya 28,000 toa gharama za kidumu cha 5lt na stika utakayobandika kwenye pack yako ya 5lt… hii itakusaidia hata uweze kuuza mafuta kwa supermarkets….

Ukitoa hapo hizo cost waweza bakia na 25k kama faida kwa dumu moja la 20lt
Umetisha mkuu
 
Biashara ya boda boda ni nzuri kama utaendesha mwenyewe,japo siku hizi imekua biashara ngumu kiasi maana abiria hawapandi mtu wasie mjua.

binafsi hata mimi sipandi tu boda boda ilimradi nimepanda,hivyo ili uanze ona matunda ya hii biashara itakubidi uchaji solar sana kijiweni wakati wenzio unawaona wanatoka na kuingia.

ukizoeleka biashara utapga sana ila hapo mpaka uzoeleke sasa (maji umeyaita mma)

Kwa mtaji huo nakushauri kitu ambacho vijana wengi wanakichukulia poa mno mwisho wake wanawaza mabiashara yasio na future ya kueleweka.

Binafsi siwezi fanya biashara ya boda,ila mkuu nakushauri kwa mtaji huo Hebu kaa chini tafuta location nzuri chukua frem kisha fungua DUKA LA MANGI.

duka la vitu vya majumbani tunapenda kusema dukani kwa mangi,Mkuu nakuhakikishia hili duka ukiweza litunisha mtaji kama ulionao ukajaza mazaga zaga yote na mkawa wawili (wewe na waifu) waifu mchana yote anatoka saa 8:00 usiku,wewe unaingia muda huo hadi majogoooo, BABA BABA BABA mchawi lazima uitwe braza.

Duka la mangi ni biashara bomba sana yenye Future inayoeleweka,unapokua na mtaji mkubwa biashara ya Mangi inakupa more income ila boda boda hata ujambe uharishe hutokaa hata siku 1 ulaze faida LAKI ng'ooo utachora chini.

DUKA LA MANGI uwezo wa kulaza faida zaidi ya 100k per day kila siku biashara ikija changanyia mwendo wa 360km/hr boss kama nakuona hivi utavyokuja nishukuru badae.

Achana na ma idea ya vijana sijui boda boda,sijui toyo,sijui bolt,nk (sidharau hizi idea zao) lakini future yahizo biashara zao ni inaonekana kabisa, binafsi mimi sasa hivi huwezi niambia nifungue biashara ambayo nikiiangalia baada ya 5yrs haitoweza nipa 500k per day, sifungui mimi biashara.

Biashara zenye COSTANT INCOME sizitaki na wala siziwezi,napenda duka la mangi maana the more the capital the more the income the more the customer,nk

DUKA la Mangi ni biashara ambayo kijana yeyote anaetafuta maisha na amedhamiria kupambana na ana mtaji basi simshauri mara mbili namwambia tu mara 1 Asijifikirie aifanye bila kusita sita.

Duka la mangi linauza vingi brooo,kuna mchele,unga,sabuni,wine zote,vinywaji vyote yani unakusanya unakusanya hadi ukija jumlisha faida unasema Asante BABA wewe ni mkuu.

Mama yangu alikua akimiliki duka la mangi ezi hizo,ilikua ukiingia dukani chini sakafuni kuna coin kama zote zimedondoka,huwa haziokotwi dukani kuna coin nikawa najiuliza kwann mama anaacha pesa chini? nikienda dukani kwake najifanya viatu vinanibana nikiwa pale nnje nakunywa soda navua viatu then natafuta namna yyte ile niingie dukani,napita kukanyaga maeneo yenye coin nazifinya na kidole cha mguu naziinua natia mfukoni...

Mpaka nitoke dukani mfukoni nishamake hadi buku, (buku enzi zetu wazee sio masihara)

Leo nimekua ndio naelewa kwanini duka la mangi lina pesa,kwann mama alikua haokoti coin zikidondoka,mkuu duka ya mangi ina pesa kuliko watu wafikiriavyo.

Nafanya biashara nyingi ila mwaka Huu biashara yangu kubwa ninayoenda ifungua ni DUKA LA MANGI brother penye asali washirikshe na wengine,ifanye hii biashara ina faida nyingi sana sana sana.
Upo wapi tuingie ubia....ili tuwe tunakunywa bia na kumwagilia moyoooo
 
Kikubwa usimamiz na masharti makali mfano me ninayo moja hesabu kwa siku 7000 pikipiki inalala kwangu service nafanya mwenyew kwa mwez Mara 3 elfu 18 pamoja na oil 36 elf apo MTU anafanya kaz vzur
Upo wapi mkuu? Na hiyo buku 7 ni mkataba wa muda gani?
 
Back
Top Bottom