sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
Mfano wako ni irrelevant kama unaona muuza samadi anafaidika si ufuge ng'ombe wewe mwenyewe..mganga dawa ya kufanikisha mambo yako anaitoa wapi? Kwanini asiitumie yeye mwenyewe kufanikisha mambo yake?muuza samadi anaweza kuacha kukuuzia samadi akaitumia kwenye mashamba yake vipi mganga anaweza?Ni sawa na kusema hakuna muuza samadi ambae yy masikini anaeweza fanya shamba lako listawi kumzidi maisha
Usiende kwa mganga kufanikisha mambo yako .hiyo ni neno MAFANIKIO lina mengi.ww fungua baa vizuri piga vita yote ya kibinadamu Kisha leta wa 3 wazuie mchawi asisogee.mganga ukijielewa ni kama linzi waMfano wako ni irrelevant kama unaona muuza samadi anafaidika si ufuge ng'ombe wewe mwenyewe..mganga dawa ya kufanikisha mambo yako anaitoa wapi? Kwanini asiitumie yeye mwenyewe kufanikisha mambo yake?muuza samadi anaweza kuacha kukuuzia samadi akaitumia kwenye mashamba yake vipi mganga anaweza?
"Kisha leta wa 3 wazuie mchawi asisogee.mganga ukijielewa ni kama linzi wa"Usiende kwa mganga kufanikisha mambo yako .hiyo ni neno MAFANIKIO lina mengi.ww fungua baa vizuri piga vita yote ya kibinadamu Kisha leta wa 3 wazuie mchawi asisogee.mganga ukijielewa ni kama linzi wa
Kwanini 4 kiongoziNenda na namba4
Yaani mganga sio bosi ni mtu mwenye maarifa ya kuyaajiri ni kama unavoleta fundi umeme kwenye hotel yako"Kisha leta wa 3 wazuie mchawi asisogee.mganga ukijielewa ni kama linzi wa"
Mzee sijakuelewa hapo
Hzo changamoto ni km zpi plzz[emoji848]Wakati wa kivuna hapa nazungumzia Mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi
Gunia hufika had Tsh 45000
Inatakiwa uweke kambi wewe mwenyewe
Kama mwezi mil 10 ni kama gunia 220
Gunia Hilo Hilo la mpunga unaweza uza had elf 90 had laki na 20.unawez uzia hpo hpo Kijiji au unasafirish.
Pia unaweza kununu mpunga then unkoboa unauza Michele
Uzuri hakuna gharama za uhifadhi (Godauni) Kuna watu wanamashine za kukoboa unahifadhi bure kabisa.
2) Unaweza kununua Alizeti wakati waavuno ya mwezi wa 5.
Mwez wa 5 kiroba kimoja ni elf 50
Unaweza kamua mafuta ukauza ukapat faida kweny kila kiroba kimoja unaweza tengenzeza Tsh 85'000 had 150'000.
Inategemeana unauza muda Gani
NB; hizi biashara inatakiwa ufanye wewe mwenyewe ...ukiwa unaanza Kuna baadhi ya changamoto...ni zakawaida
50k[emoji3166] kwnda na kurudi Laki anyway...[emoji848]Ndio ni njombe hiyo ukifika hapo mwambie bodaboda yeyote akupeleke kwa mzee mseketwa nauli ya bodaboda ni 50000 hadi huko
Kweliii mkuu sometimes haya mambo ukiyasikiliza yanavyoangaliwa na ukikuta the way uhalisia ulivyo ground unaeza ukachokaa aiseeeMimi ningemtafuta kabisa tuonane ana kwa ana anipangie proposal inayoeleweka mpaka nielewe kabisa ikibidi anipeleke ground nione mambo yalivyo.
Nipe unazozifahamu ww bossKati ya ulizochagua sioni hata 1 yakukutoa
Yaahh ni ndogo ila kwa huo umbali unaeza ukaenda huko usirudiii[emoji23][emoji23][emoji23]Nauli ya dar mwanza hiyo mkuu[emoji28][emoji28], sema kwenye utafutaji hiyo ndogo.
Unataka kumaanisha nn mkuu naona km una madini hv embu weka sawa tukueleweSiyo mfanya biashara kwa sasa ijapo niliwahi kufanya biashara miaka ya 2006-8 huko.
Nilichokigundua ni vigumu sana kulinda biashara yako isiharibiwe na walimwengu.
Kazi ngumu kwenye utafutaji wa fedha siyo kuitafuta bali ni kuilinda na kuitunza.
Ni kweli kushika pesa,kutunza na kuziendeleza inahitaji nguvu...either nguvu za giza au nguvu za darasani.Huo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Aje achukuwa notice kwangu ama.vip afunguwe kijiwe Cha kuuza vitanza na mezaaaina zoteHongera sana kwa WAZO la kuanzisha BIASHARA.
Naamini ktk Uchambuzi wa Biashara kwa kuandaa proposal.. ukizileta kwa njia hii wale wataalam wa analysis watakujibu kiusahihi.
Hapa tutatumia hisia kwa wingi.
For me: Biashara ya vitu vya Ujenzi naona ipo poa..
Kwamba biashara ya ujenz Kuna uchawiNamba tatu imekaa poa ilaa mtaji wa kwanza namba za waganga pesa upepo inepepea any time.
Uongo huu uchawo kila mtu angetoboaKwamba unaamini bila ndumba kutoboa kwny bizness ni mtihani or.[emoji848]
Mzee acha hzo mkuu unadhaalikisha familia yako Happ kwa kuwaita washirikina. Siyo sawa HiloHuo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Inashangza San hoja anaoletahapa eti Bila uganga utoboiVipi hao waganga nao ni matajiri/wana mafanikio?
Au ndiyo mganga anaishi kwenye kijumba cha udongo halafu unamfuata akupe dawa ya biashara.
Kbsaa mm nimeweka kumi na nne na Bado sioni kituBiashara ya vifaa vya ujenzi na elekroniki kwa mawazo yangu inahitaji mtaji mkubwa sana. Milioni kumi ni nyingi sana ila haitoshi kwa vifaa vya ujenzi.
Unacho kiwanja au nyumba mnkHiyo 10m ni saving mkuu nilikua nmeajiriwa sehemu hv hapo nyuma