Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Kwa biashara ya vyombo ukipita kariakoo ule mtaa wa vyombo kuna wamachinga wanauza vyombo barabarani ... Elewa hivo vitu walivyoweka ndio vinavotembea sana...tafuta machimbo yao utapata profit kubwa.
 
Ni sawa na kusema hakuna muuza samadi ambae yy masikini anaeweza fanya shamba lako listawi kumzidi maisha
Mfano wako ni irrelevant kama unaona muuza samadi anafaidika si ufuge ng'ombe wewe mwenyewe..mganga dawa ya kufanikisha mambo yako anaitoa wapi? Kwanini asiitumie yeye mwenyewe kufanikisha mambo yake?muuza samadi anaweza kuacha kukuuzia samadi akaitumia kwenye mashamba yake vipi mganga anaweza?
 
Usiende kwa mganga kufanikisha mambo yako .hiyo ni neno MAFANIKIO lina mengi.ww fungua baa vizuri piga vita yote ya kibinadamu Kisha leta wa 3 wazuie mchawi asisogee.mganga ukijielewa ni kama linzi wa
 
"Kisha leta wa 3 wazuie mchawi asisogee.mganga ukijielewa ni kama linzi wa"

Mzee sijakuelewa hapo
 
Wakati wa kivuna hapa nazungumzia Mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi
Gunia hufika had Tsh 45000
Inatakiwa uweke kambi wewe mwenyewe
Kama mwezi mil 10 ni kama gunia 220
Gunia Hilo Hilo la mpunga unaweza uza had elf 90 had laki na 20.unawez uzia hpo hpo Kijiji au unasafirish.
Pia unaweza kununu mpunga then unkoboa unauza Michele

Uzuri hakuna gharama za uhifadhi (Godauni) Kuna watu wanamashine za kukoboa unahifadhi bure kabisa.

2) Unaweza kununua Alizeti wakati waavuno ya mwezi wa 5.
Mwez wa 5 kiroba kimoja ni elf 50
Unaweza kamua mafuta ukauza ukapat faida kweny kila kiroba kimoja unaweza tengenzeza Tsh 85'000 had 150'000.
Inategemeana unauza muda Gani

NB; hizi biashara inatakiwa ufanye wewe mwenyewe ...ukiwa unaanza Kuna baadhi ya changamoto...ni zakawaida
Hzo changamoto ni km zpi plzz[emoji848]
 
Mimi ningemtafuta kabisa tuonane ana kwa ana anipangie proposal inayoeleweka mpaka nielewe kabisa ikibidi anipeleke ground nione mambo yalivyo.
Kweliii mkuu sometimes haya mambo ukiyasikiliza yanavyoangaliwa na ukikuta the way uhalisia ulivyo ground unaeza ukachokaa aiseee
 
Siyo mfanya biashara kwa sasa ijapo niliwahi kufanya biashara miaka ya 2006-8 huko.
Nilichokigundua ni vigumu sana kulinda biashara yako isiharibiwe na walimwengu.

Kazi ngumu kwenye utafutaji wa fedha siyo kuitafuta bali ni kuilinda na kuitunza.
Unataka kumaanisha nn mkuu naona km una madini hv embu weka sawa tukuelewe
 
Huo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Ni kweli kushika pesa,kutunza na kuziendeleza inahitaji nguvu...either nguvu za giza au nguvu za darasani.

Kuna msemo unasema....pesa zina nguvu kuziendesha pesa inahitaji nguvu zaidi
 
Hongera sana kwa WAZO la kuanzisha BIASHARA.

Naamini ktk Uchambuzi wa Biashara kwa kuandaa proposal.. ukizileta kwa njia hii wale wataalam wa analysis watakujibu kiusahihi.

Hapa tutatumia hisia kwa wingi.

For me: Biashara ya vitu vya Ujenzi naona ipo poa..
Aje achukuwa notice kwangu ama.vip afunguwe kijiwe Cha kuuza vitanza na mezaaaina zote
 
Huo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Mzee acha hzo mkuu unadhaalikisha familia yako Happ kwa kuwaita washirikina. Siyo sawa Hilo
 
Back
Top Bottom