Wakati wa kivuna hapa nazungumzia Mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi
Gunia hufika had Tsh 45000
Inatakiwa uweke kambi wewe mwenyewe
Kama mwezi mil 10 ni kama gunia 220
Gunia Hilo Hilo la mpunga unaweza uza had elf 90 had laki na 20.unawez uzia hpo hpo Kijiji au unasafirish.
Pia unaweza kununu mpunga then unkoboa unauza Michele
Uzuri hakuna gharama za uhifadhi (Godauni) Kuna watu wanamashine za kukoboa unahifadhi bure kabisa.
2) Unaweza kununua Alizeti wakati waavuno ya mwezi wa 5.
Mwez wa 5 kiroba kimoja ni elf 50
Unaweza kamua mafuta ukauza ukapat faida kweny kila kiroba kimoja unaweza tengenzeza Tsh 85'000 had 150'000.
Inategemeana unauza muda Gani
NB; hizi biashara inatakiwa ufanye wewe mwenyewe ...ukiwa unaanza Kuna baadhi ya changamoto...ni zakawaida