Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Mkuu nmekucheki PM
 
number 4 mtaji wako mdogo, number 3 inategemea n location.

ukishindwa kabisa we leta pesa tuingie mkataba wa kisheria... dhamana nyumba na gari...

ukae ndani tuizungushe pesa yako Kwa muda utakaotaka wewe
 
Uizungishe kwenye biashara ipi ama shughuli zipi na return yake ni ipi? Jibu hayo maswali kwanza alafu tuendelee ndugu mkuu.

Nashukuru kwa kunisaidia kuuliza maswali muhmu maana[emoji23][emoji119]
 
Hela za mshahara ni ngumu sana aiseee kutoboa mwezi otherwise inabdi uwe mtu wa bajeti kaliiiiii
Chief, mimi nilikuwa mwajiriwa wa company moja ya mauzo apa mjini, nafasi niliyokuwepo ilikuwa inamezewa mate na watu wengi mno.

Fitina nyingi aisee, nilipigiwa simu mpaka na waganga, wananiambia wanafuatwa na watu wafanye mpango ning'olewe kazini.

Nimekuja kustuka sina hamu na kazi plus uvivu uvivu, sijakaa sawa nikalizwa mamilioni ya pesa aisee.

Haya mambo we acha tu
 
Daahh noma sema hyo nafasi inaonekana ilikua na mkwanja mrefuu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…