Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Fungua hardware inalipa saana ndugu zangu wengi hata sisi wenyeww hardware imetutajirisha ...hio million 10 inatosha kikubwa uwe na connection na suppliers hua wanakopesha sometimes kuhusu mtaji usiogope ukiwa na suppliers wako ukihitaj vitu kama huna ela anakupa then unakuja kumlipa...kikubwa upate location nzurii hio ela inatosha Kwa kuanzia Anza na vile vitu vinavyotoka sana kama cement,mbao,gypsum,misumari,vifaa vinginevyo igawanye Io ela ununue vitu kidogo kidogo sio lazima uanze na vingi Anza na kidogo kadri siku zinavoenda biashara itakua..... achana na mambo ya waganga pesa za kichawi hua hazidumu Zina mwsho wake nna ndugu alikua anafanya biashara Kwa dawa mambo yalienda vizuri haikuchukua muda biashara ikabuma akaanza kuhangaika mganga akamwambia itabidi atoe sadaka ya mtu mke au mtoto ....yule Bwana alishindwa kilichotokea alifilisika vibaya sana to the point nyumba ilitaka kupigwa mnada......yule Bwana ilibidi atubu amrejee Mungu alivofanya ivo biashara ikachipuka upya saiv amekua mlokole biashara imekua Bora zaidi kuliko uko nyuma anaiendesha Kwa nguvu za Mungu na wokovu
Mkuu nmekucheki PM
 
number 4 mtaji wako mdogo, number 3 inategemea n location.

ukishindwa kabisa we leta pesa tuingie mkataba wa kisheria... dhamana nyumba na gari...

ukae ndani tuizungushe pesa yako Kwa muda utakaotaka wewe
 
Uizungishe kwenye biashara ipi ama shughuli zipi na return yake ni ipi? Jibu hayo maswali kwanza alafu tuendelee ndugu mkuu.
number 4 mtaji wako mdogo, number 3 inategemea n location.

ukishindwa kabisa we leta pesa tuingie mkataba wa kisheria... dhamana nyumba na gari...

ukae ndani tuizungushe pesa yako Kwa muda utakaotaka wewe
 
Hela za mshahara ni ngumu sana aiseee kutoboa mwezi otherwise inabdi uwe mtu wa bajeti kaliiiiii
Chief, mimi nilikuwa mwajiriwa wa company moja ya mauzo apa mjini, nafasi niliyokuwepo ilikuwa inamezewa mate na watu wengi mno.

Fitina nyingi aisee, nilipigiwa simu mpaka na waganga, wananiambia wanafuatwa na watu wafanye mpango ning'olewe kazini.

Nimekuja kustuka sina hamu na kazi plus uvivu uvivu, sijakaa sawa nikalizwa mamilioni ya pesa aisee.

Haya mambo we acha tu
 
Daahh noma sema hyo nafasi inaonekana ilikua na mkwanja mrefuu sana
 
Back
Top Bottom