Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Ishu ni hao watu wa warehouse kukuamini ila hyo imekaa poaa sanaa
 
""...Ndioa maana vibiashara vyenu havidumu..""
1. Punguza dharau what is "Vibiashara"?
2. Hayo mambo nilisomaga na nikafaulu chuo ila niliyaacha mulemule shule

Braza Unafanya biashara?

Yangu nilianza bila hizo principle za darasani na sasa imekua hasaa, biashara ina miaka mi5.

#YNWA
 
Vizuriii unapiga biznes gani bro
 
Fanya biashara ya chakula
 
Chukua biashara namba 3, ndiyo nayozeekea. Ukifuata sheria za mchezo, unadumu nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…