Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
- Thread starter
- #81
Pamoja sanaa[emoji2969]Kaa mbali na waganga
Start small ,usiweke hela yote kwanza
Ni hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sanaa[emoji2969]Kaa mbali na waganga
Start small ,usiweke hela yote kwanza
Ni hayo
Ni biashara ipi unayoijua ndani ya muda mfupi like 1 year inaeza ikaanza kuleta return maana 3 yrs syo poaHizo biashaelra zote hpo had uje uanze kupata profit ni zaidi ya 3yrs, maybe kama unacho kipato kingine kwa mahitaji ya kila siku.
Ishu ni hao watu wa warehouse kukuamini ila hyo imekaa poaa sanaaAnachotakiwa ni kuwa na connection na warehouses, ikitokea mtu kataka mifuko mingi kwa muda mdogo anavuta waya mifuko inakuja kwa haraka.
Cement, nondo, mbao, mabomba sio vitu vya kuumiza kichwa.
Hapo akili awekeze ktk vifaa vya Umeme aweke mzigo unaoeleweka.
""...Ndioa maana vibiashara vyenu havidumu..""Ndioa maana vibiashara vyenu havidumu.. mnakuja kulia lia humu.
Kila kitu lazima ukifanyie tathmini na sio kwenda blindly..
Proposal na Biz plan ni muhimu. Hayo uliyoyataja maswala ya kutafuta taarif field, kwa waliotangulia etc ni moja ya feature za biz plan.
Pre assessment kwanza na sio ujitumbukize humo then uanze kulaumu watu labda kama hela sio yako, ila hela hizi za mikopo au za kukusanya muda mrefu kwa jasho na damu unatakiwa uende kwa umakini mno mno.
Pamoja sanaa
Hizo nafaka unakua unasafirisha, unalima au unafanyaje maelekezo plzz
Umewahi kufanya biashara yeyote?Hizo biashaelra zote hpo had uje uanze kupata profit ni zaidi ya 3yrs, maybe kama unacho kipato kingine kwa mahitaji ya kila siku.
Toa ushauri wowote mkuuUmewahi kufanya biashara yeyote?
Vizuriii unapiga biznes gani bro""...Ndioa maana vibiashara vyenu havidumu..""
1. Punguza dharau what is "Vibiashara"?
2. Hayo mambo nilisomaga na nikafaulu chuo ila niliyaacha mulemule shule
Braza Unafanya biashara?
Yangu nilianza bila hizo principle za darasani na sasa imekua hasaa, biashara ina miaka mi5.
#YNWA
Changia chochote kitu mkuuInteresting
Hongera.""...Ndioa maana vibiashara vyenu havidumu..""
1. Punguza dharau what is "Vibiashara"?
2. Hayo mambo nilisomaga na nikafaulu chuo ila niliyaacha mulemule shule
Braza Unafanya biashara?
Yangu nilianza bila hizo principle za darasani na sasa imekua hasaa, biashara ina miaka mi5.
#YNWA
Fanya biashara ya chakulaHabari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Ukiwa na Biz premises nzuri unaaminika, but wanachopenda wale watu usiwe kigeugeu, leo unanunua mzigo kwangu kesho unaenda sehemu nyingine.Ishu ni hao watu wa warehouse kukuamini ila hyo imekaa poaa sanaa
Chukua biashara namba 3, ndiyo nayozeekea. Ukifuata sheria za mchezo, unadumu nayoHabari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nimebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwenye Biashara na kwa kufikiria nimepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwenye majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji, Mabeseni, Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.
Connection ya mganga mkuu.Mimi nafanya biashara na kiufupi biashara ndilo jambo tunaloliweza kwenye familia yetu kwasababu tumezaliwa tumeikuta biashara hom na baadae tukawa na biashara zetu
Connection ya mganga mkuu.Mimi nafanya biashara na kiufupi biashara ndilo jambo tunaloliweza kwenye familia yetu kwasababu tumezaliwa tumeikuta biashara hom na baadae tukawa na biashara zetu
Connection ya mganga mkuu.