Nina mtaji wa milioni kumi; nifanye biashara ipi kati ya hizi nilizochagua?

Pamoja sana mkuu nakungoja..[emoji123]
 
Aahh shukrani sanaa mkuu hii itabidi nikufate PM au tubadilishane contacts unipe madini zaidi
 
Nimekutumia DM info's
 
Hivi watu mnaotoaga majibu kama haya vichwa vyenu mnatumia kama mifuniko ya shingo au?
Kwa hio kama kapata hio 10M kwenye biashara ya mbao, anataka kubadili biashara, au anataka kujitanua ?
Yan mnatoa majibu kama mmekatwa vichwa hivi
Watu wanazingua sana aisee na jibu nlishawapa
 
Dogo unachekesha sana biashara za ninyi munaojiita wasomi ndizo hazichelewi kufa kwasababu mumekaririshwa na watu ambao hawajawahi kuuza hata chupi...
 
Hapo inakuaje yani kununua kwa wakulima na kuuza Town,, kusafirisha au kukoboa nipe maelezo zaidi na return yake ipoje
Wakati wa kivuna hapa nazungumzia Mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi
Gunia hufika had Tsh 45000
Inatakiwa uweke kambi wewe mwenyewe
Kama mwezi mil 10 ni kama gunia 220
Gunia Hilo Hilo la mpunga unaweza uza had elf 90 had laki na 20.unawez uzia hpo hpo Kijiji au unasafirish.
Pia unaweza kununu mpunga then unkoboa unauza Michele

Uzuri hakuna gharama za uhifadhi (Godauni) Kuna watu wanamashine za kukoboa unahifadhi bure kabisa.

2) Unaweza kununua Alizeti wakati waavuno ya mwezi wa 5.
Mwez wa 5 kiroba kimoja ni elf 50
Unaweza kamua mafuta ukauza ukapat faida kweny kila kiroba kimoja unaweza tengenzeza Tsh 85'000 had 150'000.
Inategemeana unauza muda Gani

NB; hizi biashara inatakiwa ufanye wewe mwenyewe ...ukiwa unaanza Kuna baadhi ya changamoto...ni zakawaida
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naku dm mkuu
 
Hii post ningeiona miaka mitatu nisingejiuliza kuhusu hii biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…