dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Aisee hii comment mfike mahali muachane nayo, kama huna cha kushauli soma tu uende zako.Hii 10M umeipata kwenye biashara gani? Kwann usiendelee nayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii comment mfike mahali muachane nayo, kama huna cha kushauli soma tu uende zako.Hii 10M umeipata kwenye biashara gani? Kwann usiendelee nayo?
Huo ndio ukweli biashara inaendena na waganga mimi nakuambia hivyo kwa uzoefu nimezaliwa katika familia ya wafanyabiashara na mimi nafanya biashara
Nashukuru sana kwa kunisaidia maana me nlishaijibu ila wapi waja hawaelewiAisee hii comment mfike mahali muachane nayo, kama huna cha kushauli soma tu uende zako.
Mmhh kwa ada hyo hyo Nursery inabdi iwe na quality kdogo for 10M daaahh[emoji848]Depend on quality ya shule.
But think from 600K to 1M+ kwa mwaka.
Nashukuru mkuu,, ila ungenifafanulia kdogo why no 3 sorryFanya Namba 3, Namba 4 ni nzuri pia ila ungekuwa na mtaji kuanzia 15m ndo ingefaa
Kwa uzoefu wangu, japo inategemea sana unataka kuweka nini kwa kuanzia, ila kama haitahusisha mbao, cement, nondo na vifaa visivyotoka haraka, unaweza kuanza na 15m hadi 20m. Na hapo utakuwa umejibana sana, labda kama ndio kujikongoja hivyo, ila kwa serious business 10m kwenye vifaa vya ujenzi haitoshi, ila kwenye uwekezaji mwingine ni pesa ndefu tu.Kwa uzoefu wako inabdi km kiasi gani kinahitajika..?
Ukiandika hapa wote tukafaidi mawazo yako je?Biashara huwa inaanzia na wazo na ukiwa nje ya biashara mara nyingi huwezi kujua biashara ipi inalipa.kwa tathimini yangu toka nianze biashara naona ukitaka biashara yako iende vizuri kuwa na WAZo ambalo hu deal direct na final consumer ,yani uwe na biashara ambayo unaweza kuwauzia wafanya biashara wa jumla na rejareja nje ya hapo biashara utaiona ngumu sana hasa ya ku deal na wateja wa rejareja njoo pm nikupe wazo ambalo utakula hela
Huu ujinga SIJAWAHI FANYA.Naamini ktk Uchambuzi wa Biashara kwa kuandaa proposal..
Anzisha danguro, hakikisha mademu wote ni weupe na wana matako makubwa...Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nmebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwny Biashara na kwa kufikilia nmepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwny majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji,Mabeseni,Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.[emoji123][emoji120]
Kwanini...?Huu ujinga SIJAWAHI FANYA.
#YNWA
Ni sahihi Mkuu, ila kwa kiasi alichonacho cha milioni 10 nadhani haitatosha labda kama anaweza kuanza kuwa dealer wa Saruji na vifaa vichache vya PlumbingHongera sana kwa WAZO la kuanzisha BIASHARA.
Naamini ktk Uchambuzi wa Biashara kwa kuandaa proposal.. ukizileta kwa njia hii wale wataalam wa analysis watakujibu kiusahihi.
Hapa tutatumia hisia kwa wingi.
For me: Biashara ya vitu vya Ujenzi naona ipo poa..
Mambo yaKwanini...?
Biashara zote hapo zinawezekana kasoro ya vifaa vya ujenzi mtaji wako ni mdogo.Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi kama kijana nimeamua rasmi kujikita kwenye kufanya Biashara maana ndiyo ndoto yangu ya siku nyingi sana.
Binafsi nimepambana hapa na pale nmebahatika kupata mtaji wa Tsh Milioni 10 hivyo nmeamua kujikita rasmi kwny Biashara na kwa kufikilia nmepata mawazo ya Biashara 4 ambazo binafsi ninazipenda na kuzimudu..
1. BIASHARA YA KUUZA VYOMBO VYA MAJUMBANI
-Hapa nitahusisha uuzaji wa vyombo mbalimbali ambavyo vinatumika kwny majukumu ya kila siku majumbani kama (Masufuria, Hotpots, Vijiko, Visu, Madeli, Ndoo za maji,Mabeseni,Chupa za Chai, Viti & Meza za plastic, Majaba etc)
2. BIASHARA YA NGUO NA PRODUCTS MBALIMBALI ZA WATOTO(0-3YEARS)
-Hapa itahusisha kuuza products mbalimbali za watoto wachanga hadi miaka mitatu(3) kama vile (Nguo, Nepi, Viatu, Kofia, Neti, Beseni za kuogea, Toys km Vigari & Midoli, Poda & Sabuni za watoto etc)
3. BIASHARA YA BIDHAA MBALIMBALI ZA UREMBO NA VIPODOZI VYA WANAWAKE
-Hapa nitahusisha bidhaa kama(Perfumes, Rasta, Lotions, Poda, Hereni, Lipstics, Cheni, Nguo za ndani,Madela etc)
4. BIASHARA YA VIFAA MBALIMBALI VYA UJENZI WA NYUMBA NA VIFAA VYA ELECTRONICS
Wakuu naombeni USHAURI kwa uzoefu wenu ni Biashara ipi hapo yenye return kubwa na bidhaa zake ni more Liquid (Rahisi kuuzika kwa haraka) na ni sehemu gani naweza kupata hzo bidhaa kwa urahisi na Bei nafuu kwa DAR ES SALAAM na changamoto pia za hyo biashara husika na kama itapendeza Location nzuri ya kufanya hyo biashara kwa DAR.
NINAWASILISHA KWENU WADAU KWA USHAURI.[emoji123][emoji120]
Nakuja chap japo ungeandika hapa pia ingependeza zaidi...Biashara huwa inaanzia na wazo na ukiwa nje ya biashara mara nyingi huwezi kujua biashara ipi inalipa.kwa tathimini yangu toka nianze biashara naona ukitaka biashara yako iende vizuri kuwa na WAZo ambalo hu deal direct na final consumer ,yani uwe na biashara ambayo unaweza kuwauzia wafanya biashara wa jumla na rejareja nje ya hapo biashara utaiona ngumu sana hasa ya ku deal na wateja wa rejareja njoo pm nikupe wazo ambalo utakula hela
Hapo nmekupata mkuu unaonekana mzoefu ww kwny septa ya ujenzi..Kwa uzoefu wangu, japo inategemea sana unataka kuweka nini kwa kuanzia, ila kama haitahusisha mbao, cement, nondo na vifaa visivyotoka haraka, unaweza kuanza na 15m hadi 20m. Na hapo utakuwa umejibana sana, labda kama ndio kujikongoja hivyo, ila kwa serious business 10m kwenye vifaa vya ujenzi haitoshi, ila kwenye uwekezaji mwingine ni pesa ndefu tu.
Mfano, kama utauza bomba za kuchomelea na accessories zake, yaani sticks, disks, rangi, vitasa vya mageti, bawaba za geti, sheets za urembo nk utashangaa hiyo 10m inakata na mzigo ni mdogo sana.
[emoji2955][emoji2969]Anzisha danguro, hakikisha mademu wote ni weupe na wana matako makubwa...
Namba 5.[emoji871]Mambo ya
Business proposal
SWOT
E.t.c
Naongea ujinga tuuu...
Sawa niliyasoma chuo ila niliyakariri ili nifaulu darasani ila ukija mtaani ulitaka kutoboa....
1. Anzisha biashara
2. Weka bei kama ulizozikuta sokoni
3. Soma MCHEZO ukiwa mchezoni
4. Tafuta taarifa field
5. Tafuta waliokutangulia wakuongoze na kukupa hint
Makaratasi na mambo hayo ya darasani TUPA HUKOOOO
#YNWA