Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290
Mh!!! So kihivyo.Huwa nafanya kazi ya kuconnect wafanyabiashara wa china na hapa kwa huo mtaji naweza kukushauri vizuri sana lakini pia nawakaribisha wote wenye shilingi milioni mbili na kuendelea karibuni sana(HATUBAHATISHI TUNAINGIA HATA MKATABA KWA MWANASHERIA UKITAKA) 0786888824/0717031290
Kijana nje ya tiketi visa na passport,uwe na mtaji wa m15 kwa kuanzia hiyo biashara ya spear
Simple and this is not a DECI mainly mtu anapokwenda kule china anatumia gharama za usafiri maladhi na muda tunachofanya tunakuconnect na hao wafanyabiashara mzigo wako utatumwa kwa DHL kasha sisi huongeza 10% ya china value kama ghalama ya management
acha kutuharibia kiswahili 'nyambafu'axante tumenufaika wengi na abc zako.,
Sijaona sehemu aliposema anataka kufanya biashara ya "spear".
Hongera kwa hilo wazo la kutaka kujiajir
Mtaji huo hautoshi kwenda mkuu hko China coct za passport na visa itaisha
Be carefully na mambo ya kuambiwa connection
na sasa tupo mbali hata kama unahitaji kitu kimoja ambacho value yake haipungui usd 100 tunakuagizia.Ili kwamba hatudanganyi katika bei tunakwenda pamoja katika links za online business za china kasha tunakubaliana bei baada ya hapo utaadi 10% na pesa ya bank charges
LAKINIWA WLE WNAOHITAJI VITU KAMA PC tablet 10.1 inch tunakuuzia moja kwaoja ,bei shilingi 435,000/= soon utaanza kleta 7inch.Kumbuka 10.1nch kariakoo zinaazia shilingi 550000
NA PIA UKITAKA KUAGIZA TUTAFANYA PROCEDURE YA KAWAIDA YA 10% KWA VALUE UTAKAYONUNULIA CHINA
Spear ni mkuki. au ulimaanisha vipuri yaani spare ? Next time if you re not sure of the spelling. please consult your online dictionary. umenielewa mama ?