Nina mtaji wa Tsh. 200 Milioni, ninataka kuwekeza katika biashara ya mbao kule Mafinga

Asante sana kwa kumsaidia. Kwa kujazia hapo asikimbilie kuanza kununua miti na kuchana mbao mwenyewe itakula kwake. Cha msingi akishajua process yote afanye kumunia mbao zilizo tayari Bwenyenye254 fuata huu ushauri was Matawi ya juu tofauti na hapo utalia.
 
Una milioni 200 tu, unataka kuwa unaishi kwenye mji wa upper middle class na uwe unatumia usafri wa ndege kwenda huko.

Hii biashara hautaiweza Mkuu. Ukiwa unafanya hizi biashara za kawaida zenyewe ndo zinakupangia wape pa kuishi na kulala.
Na hapo ndipo atakapo poteza. Hizi kaxi Zina hitaji uwe ground bila hivyo utalia
 
Tuliza wenge! Natumia Mitsubishi double cabin L 200 Spotero!! Nikijivuruga sana Makambako Mbeya ni 1 and half hours,pale ni 182kms!! Sasa Mbeya mafinga unajua ni kms ngapi? I doubt ni sehemu ambazo huzijui au unapitaga tu
Nimeendesha sana IT Dar-Tunduma, malawi pia, miaka ya nyuma. Yaani hakuna sehemu siijui kwenye njia ya Dar, mbeya, zambia.

mwendo wa kutoka mafinga,makambako, igawa, sijui chimala uyole songwe Airport mzee wangu ni saa 1 na nusu tu, umesha fika.

njia ni nyeupe sana hiyo ukitumia masaa ma nne umependa mwenyewe tu, na kama hapo una tumia ma saa 4 ukiwndesha dar kwenye mifoleni mfano salenda mpaka bunju kwa uendeshaji wako una weza kutumia siku nzima wewe.

jokes kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji117]
 
Atamwaga pesa kwenye barriers kama atachanganya na magumashi.

Magumashi kwenye boashara za mbao ni very risk kama huna uziefu. Anaweza kupoteza pesa zote ndani ya sekunde
 
Ma learner uta wajua tu hayo masaa yako kwa mwendo wa tractor hapo sawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji117]
Labda anatumia Dala dala, muulize kwanza kabla hujapinga😂😂
 
Labda anatumia Dala dala, muulize kwanza kabla hujapinga[emoji23][emoji23]
Aiseee ana jidai ana tumianga mitsubish pickup L 200 huenda gari imekwisha choka yeye anataka kulinganisha na hizi gari za sasa zinazo jiongeza speed kadri unavyo kanyaga [emoji117][emoji23]
 
Daah mkuu ww unapenda ligi kuanzia mtandaoni mpaka barabarani! Sehemu ya zaidi ya 270kms unatumia saa na nusu? Au hauna family? Pamoja mkuu😀😀
 
Daah mkuu ww unapenda ligi kuanzia mtandaoni mpaka barabarani! Sehemu ya zaidi ya 270kms unatumia saa na nusu? Au hauna family? Pamoja mkuu[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nachangamsha genge mkuu wala sipendi ligi na mtu, kuwa na wakati mwema mkuu.
 
Bwenyenye254 vipi kuhusu soko la hard wood huko NBO? Bei zake ziko je?
Gani haswa? Mahogany
6 × 2 Ksh. 300- Ksh.350 per square foot
6×1 Ksh. 180-200.
12×2 Ksh. 600 /sq. Foot

1 Ksh. = ~Tsh. 19 / Tsh. 20
Soko ni Kubwa unaweza kuipata kule Industrial Area na Gikomba.

Pale Mafinga kuna Cypress pia besides Pine?
 
Fundi ujenzi na biashara za uvunaji miti wapi na wapi. Hii inatakiwa mtu aliewagi kufanya hiyo biashara kutoka huko.
Mafundi ujenzi wanatengeneza mapaa ya nyumba kuna kununua mbao kujuana na wauzaji lazima watakua na dondoo mbili tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…