Nina mtaji wa Tsh. 200 Milioni, ninataka kuwekeza katika biashara ya mbao kule Mafinga

Mawazo tu...

200M unapata bus jipya zero km aina ya zhuton na nyunginezo Kwa mchina hapo DSM

BREAKDOWN

Bei ya bus 180M

Trip Moja ya DSM to Arusha

Level seat watu 60 * 40,000/=tsh (nauli)

Totals to 2,400,000

Minus 1,000,000 mafuta

Miscellaneous (dreva 50,000 Kwa siku)
Kondakta, faini barabarani na mengineyo
350,000

2,4000,000 - 1,400,000

= 1,000,000/=tsh per trip

30 trips Kwa mwezi Moja faida ni

30,0000,000

Ndani ya miezi 6

180M
 
Nashukuru kwa hoja.
Ila mimi napendelea hii biashara ya mbao specifically kwa sababu niko katika hii sekta ya ujenzi na mbao na ujenzi ina industrial interdependence mzuri sana.

Kwa hivyo si ati nimekosa mahali pa kuwekeza.

Hii biashara ya usafiri tushaifanya miaka mingi at some point kwa familia we had over 50 buses.

Siipendi kabisia. Iko na liquidity mzuri lakini too chaotic
 
Logical advice ndo hii, am assuming hyo ni about ksh 10m/Tsh200m ,hii inatosha kwa ni excess if uko clever enough ,usije kuinvest Kama mkenya or outsider ,huku utaliwa na wangwana ,hyo sekta inafaida Sana kwanza Kama utauza Nairobi .
Nenda kwa lawfirm yyte dar or find a freind akupe dondoo uchukue tanzanian citizenship ,Kenyan laws allow dual citizenship last time I checked ,ukipata tz citizenship Sasa invest as you please and at cost ,avoid kuambia locals you are a foreigner ,piga biashara kimya .
Nimeona so many Kenyans wakilia losses simply bcoz of their nationality huku kwe2, ukiwa na NIDA number or card equivalent of a Kenyan ID uko way sure ,lastly mafinga ni pazuri Sana ukitaka mbao ,ukitaka kunawiri ishi nao ,wajue wale madalali asa ,na ukianza kuwekeza ,wekeza in small amounts sio yote kwa pamoja ,kiuhasilia nenda huko personally fact-finding gather data ila usijitambulishe Kama foreigner jifanye locale tu ,all the best
 
Nashukuru sana
 
Yes ukitaka ku wa win watu wa mafinga nenda kama fala tu yaani jifanye choka mbaya ile mbaya haswa ndio uta weza kupata data za ukweli na ndipo utakapo jua uanzie wapi.
 
Mkuu, naomba ufafanue hapo kwa dondoo ...ilo ni kumaanisha nini haswa
 
Masaa matatu mbeya makambako
 
Mafinga mbeya ni km 270 unatuma masaa
Tuliza wenge! Natumia Mitsubishi double cabin L 200 Spotero!! Nikijivuruga sana Makambako Mbeya ni 1 and half hours,pale ni 182kms!! Sasa Mbeya mafinga unajua ni kms ngapi? I doubt ni sehemu ambazo huzijui au unapitaga tu
 
ANgalia mafinga na mufindi asilimia kubwa miti ni ya serikali bei zake zinaeleweka ila mkoa wa njombe asilimia kubwa ni watu binafsi ko ni makubaliano
 
200000000 dah aisee siku nikizipata hizi kwanza nanunua gari ambalo juu liko wazi.pili nanunua nyumba tatu naweka fixed account nabaki na million 20 tu za biashara ya kunipa wese route za singida dodoma dar masasi songea mtwara ...ni full unyama
Eewaaalaaaaaa huyu ndio ndege John haswaaa,,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…