MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko.
Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo niiwekeze katika Biashara gani / Mradi upi ili inilinde hapa Mjini na pia ije kunifanya kuja kuwa Tajiri huko mbeleni na niweze kuwa Mfano wa Kuigwa kwa Wengine?
Fanyeni upesi Kunishauri kwani najijua nilivyo na Tamaa na Kesho ni Sikukuu hivyo Naogopa naweza nikaimailiza yote kisha baada ya Sikukuu ya Eid MINOCYCLINE Mimi nikawa na Maisha magumu na hata kukosa Pesa ya Kununua Bando ili niweze kuwa nanyi hapa JamiiForums.