Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

Brother gentamicin wewe SI ni graduate πŸŽ“ wa SAUT tena mass communication

Kwa mtaji wa 50,000 na Smart phone πŸ“± yako jifunze..... AFFILIATED MARKETING

Utakuja nishukuru badaee πŸ˜ŠπŸ€“

Haya NDIO maoni yangu Kwa Sasa....
 
Msimu wa kiangazi nunua guni moja la mbegu za maboga tetele
Zikachome vizur kisha fanya kupaki kwa uajzo tofaut
Uza kuanzia jero

Sorry hapo utaanza na debe 1 au 2 sio gunia

Zungusha mwezi mmoja maeneo ya mkusinyako watu
Na ukiweza zaid sema zinaongeza nguvu za kiume
Baada ya hapo kusanya mtaji ndani ya siku utauza debe
 
Hizi Id za majina ya dawa Mimi nikiziona najua atakua ni talented super fella, gifted, highly favored,King πŸ‘‘ gentamicin sulfate injection πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Weka 35 pembeni asubuhi wahi zile Super feo zinazopita Makambako (kama upo dar) panda mpaka Makambako, ukifika chukua boda mpe buku mwambie akupeleke kwa "babu wa jogoo" ukifika tu, baaasi! Sahau umasikini, hapo utapewa punje mrushie jogoo ale punje zake kadhaa ukimaliza rudi zako tafuta kasehemu cha kujibanza kwa usiku huo, asubuhi yake kwenye 50 itakuwa imebaki 8000 pamoja na chakula, kanunue mahindi ya kuchoma anza kuuza hapohapo, Shughuli imeisha!
 
SUKA MKEKA MZURI WEEKEND HII UMLE MUHINDI, elf 50 mtaji tosha kwenye kubet
 
Hahahah hii challenge sio mbaya, capital margin escalation and and risky investment calculations. Nunua dagaa za elfu 20,000 nunua na vifuko vya nylon then gawa hao dagaa kwenye vifuko 200, uza kwa kutembeza mitaani kifuko 500. Asubuhi mpaka jioni ukimaliza utakuwa na 100,000 mfukoni na ile 30,000 ya mwanzo.
 
Nunua karanga mkuu, zikaange uuze. Baada ya mwaka Bahresa atakutafuta umpe ushauri.
 
Nunua jogoo mmoja na mitetea mitatu fuga.Au uza soda na juisi au mandazi karibu na shule
 
Fungua acc betpawa kisha Chukua elfu 40. Mkeka huu hapa

Simba vs wydad FT 1, 2.35
AL Ahyl vs Raja FT 2, 5.75
CR Belouizdad vs Mamelodi FT 2, 4.3

TOTAL = 2.35 Γ— 5.75 Γ— 4.3 Γ— 40K = 2.9Million

Baada ya hapo njoo uombe ushauri tena.
 
Fungua acc betpawa kisha Chukua elfu 40. Mkeka huu hapa

Simba vs wydad FT 1, 2.35
AL Ahyl vs Raja FT 2, 5.75
CR Belouizdad vs Mamelodi FT 2, 4.3

TOTAL = 2.35 Γ— 5.75 Γ— 4.3 Γ— 40K = 2.9Million

Baada ya hapo njoo uombe ushauri tena.
Aisee wewe ni hatari, mkuu nipe mkeka wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…